tetea tete
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 388
- 127
Hivi wapinzani kwanini mmekaa kimya wakati time Na ccm wameanza kampeni?
Mkuu Mimi naombeni ufafanuzi kidogo,ninavyojua ni Kuwa ili mtu uwe waziri lazima kwanza uwe mbunge,Bunge limeshavunjwa na hatuna mbunge tena.je huu uwaziri wa mawaziri wetu sasa ni halali kikitiba?Mimi niongezee hapo na magufuli naye bado kodi zetu zinamlipa mshahara kama waziri wa ujenzi au vipi? Muda mwingi anautumia kwenye kampeni hizi zisizo rasmi ambazo macho ya Mzee Lubuva yameganzishwa hayawezi kuziona. Nakumbuka wakati wa kikwete 2005 mpaka kipindi cha kampeni bado aliendelea kuwa waziri wa mambo ya nje wakati muda wote alikuwa anautumia kwenye kampeni. Haya mambo mengine yanatia aibu mpaka basi holeholea mwanzo mwisho.
tulieni sindano ziwaingie vizuri......nakipenda sana kile kibwagizo cha nyimbo ya kampeni ya tot kinachosema " tumejipanga mwaka huu mtaisoma "
Mlikosea sehemu moja tu kwenye Wimbo wenu ule kuwaambia wadanganyika Kuwa ccm ni ile ile,mkiwa na maana Kuwa kulindana,ufisadi na uvunjaji wa sheria utaendelea hata kama magufuli atakuwa rais.Bahati Nzuri kwetu ni wadanganyika kuzoea kudanganywa na baadae wanaishia kulalamika otherwise mgeisoma number this yeartulieni sindano ziwaingie vizuri......nakipenda sana kile kibwagizo cha nyimbo ya kampeni ya tot kinachosema " tumejipanga mwaka huu mtaisoma "
pole boss wangu,ccm imeshaharibu nchi yetu,imejenga Taifa la wapenda vyama kuliko nchi.mambo Yale yaliyoua soak la bongo yaani usimba na uyanga sasa umegeukia kwenye uongozi wa Taifa letu sasa we have upinzani na ccm.Nchi hii ndo basi tena imeshakula kwetu maana hili jini ccm duMkuu wewe unalipa kodi lakini? Nimecomment kama mtanzania mlipa kodi sina kadi ya chama chochote cha siasa. Jaribu kuwa mtanzania kwanza then hayo mengine yafuate baadaye huenda ukanielewa.
Mkuu, unajua imenilazimu kurudia kuusoma uzi wa mleta uzi mara baada ya kuona hilo NENO hao kwenye bold, we umeliona wapi mkuu?lazima ujue yeye ameajiliwa na anapangwa kazi na wakubwa zake.Hivo ukisema Buhohela anapewa bahasha it is hearsay that never be used as evidence b4the court of law na ni uvivu wa kufikiri
Inaonekana Nyerere ndiye Mungu wa Tanzania,.labda laana yetu kama Taifa inatokana na hilli maana imeandikwa amelaaniwa mtu Yule amtegemeaye mwana dam na amfanyaye mwana dam Kuwa kinga yakewewe unadhani nyerere alikosea alivyosema kuwa kamwe hilo kabila lisije likapewa uongozi wa juu wa nchi hii tena akimaanisha urais?
Nimemtumia ujumbe mfupi apunguze BASHASHAA awapo kazini. Amenielewaa...
wabinafisi na wachumia tumbo siku zote wanapenda udhalimu ili mradi tu wanafaidika nao hata kidogo na huwa hawaangalii future na vizazi vijavyondiyo maana niliipenda, naipenda na nitaipenda ccm daima.
pole boss wangu,ccm imeshaharibu nchi yetu,imejenga Taifa la wapenda vyama kuliko nchi.mambo Yale yaliyoua soak la bongo yaani usimba na uyanga sasa umegeukia kwenye uongozi wa Taifa letu sasa we have upinzani na ccm.Nchi hii ndo basi tena imeshakula kwetu maana hili jini ccm du
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
hawa jamaa wameanza kampeni kabla ya muda harafu tume wapo na wanakenua meno tu
kwahiyo hata buhohela nae anamfulia magufuli, anamtengea maji ya kunywa na ya kuoga na huduma nyingine za kibaiolojia anampatia makufuli????
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??