Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,273
Habari zenu wakuu,
Mie nina malalamiko dhidi ya huduma za Halotel hasa hasa kwenye Internet.
Hii leo ni mara ya tatu nikijiunga kifurushi cha usiku kile cha 1500/- ambacho kwa madai yao ni kwamba kifurushi hiki hakina ukomo. Kwahiyo ni kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi na mbili na mbili alfajiri.
Kwa uzoefu wangu, hawa watoa huduma za mwasiliano wamekuwa wakitudanganya wateja wao kwa hiyo lugha na watu tunajiunga lakini cha ajabu internet yao wanaibana na hadi mpaka file za size ya 50MB unatumia saa moja hadi mawili kulipakua.
Naombeni TCRA mtusaidie raia ambao tunatumia huduma hii ya internet kupatiwa huduma sawa sawa na maelezo.
Nawasilisha
Happy dude