Mwimbaji chipukizi wa muziki wa injili nchini, Jimmy Gospian, amechaguliwa kuwania tuzo za ZABURI AWARDS 2016/17.
"Ndugu mtanzania, naomba unipigie kura kwenye tuzo za injili za ZABURI AWARDS 2016/17 kipengere cha MWIMBAJI BORA WA KIUME ANAYECHIPUKIA. Ili kunipigia kura, andika ujumbe wa maneno...