Movie gani hiyoBongo movie hadi uchawi unachekesha badala ya kuogopesha tuna safari ndefu ya kufika level kubwa.
Kuna movie moja ilirushwa DSTV yupo ray na Johari, scene inaonesha wanasafiri wanaenda Nairobi walipofika Hotelini huko Nairobi baada ya muda wanaonekana wapo Beach Baharini wakila bata(Ila bado wapo Nairobi) Tukajiuliza Hivi Nairobi kuna bahari?
Hivi movie tuwaachiage wasaidizi wa ndani 'house girls'.