Recent content by BIMBILISAMAJI

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma house boy na wake za watu

    Uzinzi tu hata kama angetembea na kitambi meneja....!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sijui nina mkosi

    Dogo kuzaliwa ukiwa maskini ni kawaida na liko nje ya uwezo wako lakini kufa ukiwa maskini ni juu yako ...think twice and never say never keep trying u will get it. belive youself go and get job>>>:cool2:
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua msanii unaempenda sana ni Shoga, je, hilo linaweza kupelekea upunguze ushabiki?

    Aisee na mimi nilidata baada ya kutafiti hizo taarifa.hawa jamaa kwao na=zan ku practise ushoga kwao ni hobby....
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume jamani!

    Mimba inatakiwa kulelewa na watu wawili..,mfate hukohuko Arusha, msalimie na mwambie aache kukwepa majukumu..
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

    Condoms bila AIDS yawezekana..???we unaulizia mtoto badala ya kuchek afya kwanza..nyambafu..
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    kwahiyo mdau hawa majamaa ni mapunga asante kwa kunikumbusha kusoma nyakati laini tuwaombee kwa Mungu awarudi...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    Malalamiko yako kila mahali hata makazini, michezoni sembuse ndoa na malalamiko ni muhimu ili mambo yafanyike kwa ufanisi zaidi kuliko zamani amasivyo kungekuwa hakuna maendeleo yoyote lakini vilevile huu ni ushauri tu kwako na si lazima kuufata the decision is yours...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    Acha habari yako wewe,..kuoa ni jambo la kheri na baraka kwa Mwenyezi Mungu sasa wewe unataka kuzini hadi lini,..???Huo ni mfano mmoja mbaya katika milioni moja mizuri..
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshahara wa Barmaid

    Aisee mada imenigusa kwa historia lakini mtoa mada kaichafua pale anapoita mabaamaid public toilet au anapoandika kwamba hawakatai wakitongozwa inamaana hawana mamlaka na bongo zao,hawajitambui for sure that is sex harassment charge and very bad offence but all in all wengi wao wanafanya kazi...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukigundua msanii unaempenda sana ni Shoga, je, hilo linaweza kupelekea upunguze ushabiki?

    Mi hapa cpat kigugumizi kabisa ninamchukia gafla na hata kazi zake sinunui but kama ni jamaa wangu wa karibu nitamwambia hiyo tabia sio nzuri na ku refer vitabu vya Mungu na inshallah Mwenyezi Mungu atamuona na kumrudi...Ni sawa na tajiri ambaye ulikuwa una mu admire uwe kama yeye but suddenly u...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

    Hongera Mama baby boy..Kumbuka kumlea katika maadili mema ya kitanzania, Mungu akutangulie.
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshahara wa Barmaid

    Napata shida sana kuona baamaid anabakwa, anapigwa na pengine hata kuuwawa akitetea haki zake,.. na mara nyingi watu hawa huwa ni wakarimu wakati wa kutoa huduma na wanajitolea kufanya kazi hadi usiku mnene lakini malipo yake ni kilio kwao mshahara kiduchu but nashauri mabaamaid wasikate tamaa...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hadi 6 months

    Simply my observation ingawa ujaweka source ya huo utafiti kuna kaji harufu ka ukweli kutokana na sababu zako tajwa hapo juu hasahasa kale kapoint ka mama kuwa bize na mtoto na kusahau mumewe na hili nimeli observe kwa a lots of ma friends they are complains not being care by their wife once...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Aisee huyo mwanaume mwenzetu ametudhalilisha..kimantiki ukifanya hivyo kwa mkewe manake ndoa tena hakuna,.ni talaka tosha na inaonesha ampendi uwezi kuumgeuza mke wako kama unampenda kwa dhati....au mumewe ana matatizo ya akili i don't know what to say but nazani mwanamke akaripoti kwenye vituo...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Shemeji vipi unamtamani mke wangu..:shock::shock:?? Dada ako nakaa naye fleshy tu ..Tulia uitwe mjomba..
Back
Top Bottom