CONFIRMED: Wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hadi 6 months

Judith, look, ukweli ni mbaya sana, si kwamba baba atachukia mkojo au shobo la mtoto, it comes automatically na kupunguza hisia/sexual feelings, na hutagundua dada yangu ni ngumu kuongelea but sometimes utasikia mumeo/BF wako akisema mchukue mtoto bana
kajisaidi/kakojoa sometimes kitandani, time goes, usiku, mchana unapita SEX FEELINGS zinapungua LOVE remain as usual, mm sijaoa, ila issue ipo wazi Judi
nilishaambiwa one tym..... akishapatikana mtoto basi mie niafilie mbalii kwani mtoto ndo atakuwa ndo kila kitu...
 
Nimerudi kuna ukweli nimegundua, Wababa show love all the time, plse
 
huwa wanakandwa kandwa na Mara nyingi mama mkwe!hivyo hata room huhama!ni kweli wanaume kipindi hicho hu beep nje
 
Hiyo ni njia mojawapo ya kupanga uzazi, ukijisahau tu mnaweza kusababisha "too close preginancies".
 
huwa wanakandwa kandwa na Mara nyingi mama mkwe!hivyo hata room huhama!ni kweli wanaume kipindi hicho hu beep nje
Kwakuwa kipindi hichio wazoefu wanasema kizazi bado cha moto moto kipo nje nje, ukigusa tuuuu, kituuuuu...
 
kama kweli, Mungu awasamehe kwa kuwa hawajui watendalo.

but baada ya kujifungua si lazima 6 months ipite. muda unaweza kuwa mfupi au mrefu kutegemeana na namna mama alivyojifungua na matatizo yaliyoambatana na tukio zima la kujifungua. kwanza siamini kuwa kuna baba mwenye akili timamu anayechukia mkojo wa mwanaye au hicho unachoita shombo la mtoto. labda kama ni wewe tuweke wazi ili nikuingize rasmi kwenye ratiba yangu ya maombi ,anake utakuwa umefilisika katika upendo.

Asante..umeongea ukweli. Mi naamini mwanaume kupiga nnje inatokana na tabia au misuguano ndani ya ndoa. Hilo la kusingizia mke kujifungua sikubaliani nalo bana...mi ni mwanaume na kupiga nnje napiga ila ni kwa sababu ya tamaa tu...manake videm vya sikuhizi balaaaa...vinapagawisha mbayaaa....ila vikianzaga mizinga tu nasepa.
 
Kwa hiyo wakitoka nje wanatoka na nani, the same apply confirmed wanawake wengi wanatoka nje. Kwa hiyo mimi sioni nani wa kulaumu. Wote wanatoka nje si mwanaume wala mwanamke

Wamama & wadada wa JF habari zenu, haitakiwi kutoa siri za wanaume wenzangu,
ila lazima niwaambie, muwe MAKINI KWA WAUME ZENU UKIJIFUNGUA HADI MIEZI 6
HIVI wakati unaendelea kulea, mumeo/ BF wako wengi lazima alambe nje na sababu ni

1. Mama atakuwa busy na kulea na pia hawezi kufanya tendo la ndoa, at least 6 months
2. Kuna hali ya kumwona mama hapendezi kwa kuwa yupo na mtoto, mara kuna harufu
/ shombo la mtoto mara kakojoa etc hupunguza ashki ya ku do, pia wanawake
wengine wana divert attention na kujisahau kumtumikia mume na kuwa busy na
mtoto hata kama anaweza ku do muda ukifika say 6 months, hili b careful
watch out
 
Simply my observation ingawa ujaweka source ya huo utafiti kuna kaji harufu ka ukweli kutokana na sababu zako tajwa hapo juu hasahasa kale kapoint ka mama kuwa bize na mtoto na kusahau mumewe na hili nimeli observe kwa a lots of ma friends they are complains not being care by their wife once and a while after giving birth....but ofcoz there is need both parents to take care of the child...!Nashahuri wapenzi wabaki njia kuu.
 
Back
Top Bottom