Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kweli baba paroko, labda kama anaongelea "government utensils" na sio "government entities"
Haswaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Kweli baba paroko, labda kama anaongelea "government utensils" na sio "government entities"
Nianze na mleta mada ambaye mimi nakuona una matatizo makubwa ya kisaikolojia (It's not an attack, fellow psychologists wanaofuatilia mada zako watanielewa).
Kwanza nakubaliana na wewe kwa ulichokieleza na katika maeneo mengine the situation is even worse, je umeshawahi jiuliza ni kwa nini wamefikia pale,umeshawahi kukaa nao(Sidhani) na kuongea nao.Na je umewahi kufikiria namna yoyote ya kuwasaidia!? Kifupi tu tambua kuwa hakuna binadamu anayependa kudhalilika na ukimuona mtu anadhalilika ili mkono uende kinywani sio wa kumlaumu na kumtukana bali kumhurumia na kuangalia namna ya kumsaidia, calling them a "public toilet" might be "nicier" to you lakini tambua kuwa wangependa waheshimiwe. Na kama una watoto OMBA MUNGU SANA.
Leo nimeamua kuwaletea huu uhalisia.
Bila shaka tunawajua dada zetu wanaotumika katika Bar mbalimbali maarufu na zile zisizo maarufu. Ulishawahi kujiuliza wanalipwa kiasi gani?
Juzi nilikuwa naongea na mwenye Bar hapa Dar akasema ni makubalino kabisa huwekwa kwamba atalipwa kwa siku kiasi cha sh 1500/= na kipato kingine ataongeza kwa kupat bwana.
Barmaid yeyote hawezi kumkataa mwanaume na kwa namna hiyo wanaingiza kati ya tshs 10,000/= hadi 100,000/= kwa siku kutegemeana na uzuri wake na kumfanya kuwa na mshahara usiopungua laki 3 kwa mwezi.
Siyo u.ke tena bali ni pubiliki toileti.