pole sana Jacky.
U knw what..haya ni maisha yako na ni afya yako,,wewe ndio unafeel kila kitu na sio that idiot..sory but yes he is.
Me nngekuwa wewe..
Ningeenda kwetu niwashhirikishe ndugu zangu wenye akili,then ndugu zake wajue pia. .i mean ninge either force or shawishi hadi kieleweke.
Come on girl we ungekuwa ndo yeye ungemfanyia hivyo yeye?
Then hizo tarehe za ndoa em weka tag , cos nmemsoma kama mtu ambaye hayupo tayari kukuoa ama anakitu anaficha.
Even if he is a nice and perfect for you but honey u gotta raise ur eyebrows and think HARD with ur brain.
Kwa situation kama yako na reactions zake hmmmm. Pliiizz
Huyo si mume wewe ni janga tu hilo!! Mfate ama urudi kwenu ! Isitoshe mwenzio keshaoa huyo huko! Loh!
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
wazazi walidai hawana pesa wajipange mpaka mwez wa saba sasa akakataa anasema wasaba mimba itakua kubwa itaoneka bora nitoe au nisubiri nijifungue ndo tungendoa
Eeee makubwaa kama haelewek chomoa faster
kanipa mimba hataki kueleweka, katoa mahali nyumban harusi ilikua mwez wa 5tangu nimemwambia ninamimba anarusha miez mara wa 7 mara wa 10 sasa kasema mwaka kesho...., wazazi wa pande mbili hataki wajue kama ninamimba mm naishi kwangu mwanza nlikua nafanya kazi sasa nimeachishwa sababu ya kuumwa umwa kutokana na ujauzito ananiambia nikae hukuhuku nyumbani wasijue chochote mpaka nijifungue ndo mipango ya harusi iendelee... sasa nishaulini nitakaaje huku sina ndugu sina kazi nitaishije na huu ujauzito kumbuka ni mimba ya kwanza nikipata matatizo hakuna wa kunisaidia na yeye yupo arusha...nifanyeje?
Usitoe hiyo mimba dada, uenda mungu kakupa huyo mtoto 1, kwa sasa hiyo mimba yako ni bora zaidi ya ndoa. Maana jamaa anaweza kukutolea nje lakini ukabaki na mtoto wako. Kumbuka mtoto ni zawadi pekee kutoka kwa mungu ukiitoa unaeza kuijutia kipindi chote cha maisha yako.