Extraordinary
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 541
- 178
Wakuu...Naombeni msaada wenu
wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda
MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu
hisia zangu juu yake.
Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi
ni ndugu..Je imekaaje hili katika tamaduni zetu za kitanzania?
Naomba msaada wakuu
jibu unalo, sema tu hutaki kulikubali..