Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Kuna binti wa hapa kitaa jirani- njombe , ambaye nilitongoza na kukubali ombi langu.

But kuna siku nilimuona mshikaji flani anatokanae getto kwake but hilo siku judge.

Baada ya siku mbili binti akaja getto kwangu, nakumbuka siku hiyo niliamua nipige mambo alafu tuachane, nilipiga bao la kwanza na pili kwa kondom, lakini la tatu sikutumia kondom na pia hata ka bao kenyewe kalikuwa kadogo sana.

Sasa leo hi demu ananambia kuwa ana mimba yangu.

Je pana ukweli hapo wakati kisayansi wanasema bao linalojaa size ya kijiko cha chakula ndio linaweza kutunga mimba?
 
Inawezekana kuwa yako mkuu km kweli umepga bila kondom ndan ya mstar wa hatar lazma kisomeke
 
Yaani we umemuona demu katoka kugegedwa na Jamaa na bado unakuwa na hamu ya kuingiza dushelele lako kavu kavu?!!! Na elimu yote hii inayotolewa?
Mimba hutungwa hata Na sperms wa kwenye swimming pool, bafuni nk. Kakipata access ya vaginal fluids tu kanatia timu kunako.!!! Sasa we ulitumbukiza hilo kk lako aafu unataka kukwepa majukumu!
 
Kweli wewe ni mbulula!!

Unahitaji elimu ya matumizi sahihi ya kondom. Umuhimu wa zana uko wapi, kama utatumia round mbili then round ya tatu unapiga kavu??

Kwa stahili hii, huu mkoa wa Njombe utaendelea kuongoza kwa maambukizi ya VVU.

PEOPLE WAKE UP, HIV IS OUT THERE AND ITS REAL HAPPENING!!!
 
Mwanaumeeee!!!
Fuata hisia zako. Kama umeshtuka mwambie kwa upole ulio imara kuwa tusubiri kiumbe kitoke na ikibidi ma-DNA yaangaliwe. Isijekuwa mambo yamemshinda anatafuta kivuli kwa kasi. Kuwa makini.
 
hakuns kabao kakubwa wala kadogo tubao tote tunaweza kuleta ujauzito. Alafu ivi ikawaje ukatumia kondom mara ya kwanza na pili alafu ya tatu ukaenda kavu? kamimba hako kako mkuu
 
Mutu ya Kinshasaa nashangaa kijana imetoa mada weak I never seen b4 ju vile ulipigaga mrembo without using condom ulizani muchezo eenh listen boy u jus waitin for ur child ok.....nenda upime afya...umeuza game alaf unakuja kutuzingua....
 
Condoms bila AIDS yawezekana..???we unaulizia mtoto badala ya kuchek afya kwanza..nyambafu..
 
Hii thread imefanya nicheke sana. Nimekumbuka ile ya 'ZUMA' wa South Africa eti alioga baada ya kufanya ngono ili asipate maambukizi ya 'OKIMWA'(Nimetumia lafudhi ya kabila fulani mkoa wa Mara)
 
hakuns kabao kakubwa wala kadogo tubao tote tunaweza kuleta ujauzito. Alafu ivi ikawaje ukatumia kondom mara ya kwanza na pili alafu ya tatu ukaenda kavu? kamimba hako kako mkuu

ha ha ha!haka ka sangwine na kabao kake kadogo kenye madhara kamenichekesha sana!
 
Last edited by a moderator:
Elimu ya uzazi kuna haja ya kupewa kipaumbele na kufanyiwa kampeni kama za H.I.V aids au kuvua mkono sweta. Vijana wanafundishana ujinga sana.
 
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka. eti kabao kenyewe kadogo
 
Sasa baba naniliu ulivyopiga kavu ulitegemea hlo bao utajipigia mwenyew..umepiga bao huku gegedo lako likiwa ndan nw unataka kukimbia majukumu.
 
Back
Top Bottom