Nikiwa kama mtanzania najisikia aibu kuwa na mwanasiasa na mwanasheria kama Tundu Lisu.akiwa kama mwanasiasa najisikia aibu kwa kuwa msaliti kwa kuitangaza vibaya nchi yake kwa maslahi yake binafsi,
Pia najisikia aibu kuwa na mwanasheria anayetoa shutma za uzushi na zisizo na ushahidi kiasi...
wewe mtoa post na huyo Tundu Lisu wako mmechoka na amani tuliyonayo, kwa maana mnapozungumzia TUFANI maana yake ni kuvuruga amani, nasi watanzania hatuwataki waleta fujo nchini kwetu,kama ni tume huru bado kuna njia nyingi za kuidai kwa amani.lakini inaonyesha nia yenu si tume bali kuchafua...
huyu Jamaaa (lisu) anatafuta kiki kwa mabwana zake tu. na kama angetaka haki itendeke juu ya kushambuliwa kwake angerudi nyumbani ili asaidiane na vyombo vya usalama kutafuta wahalifu.
hizo report za wazungu lazima ziichafue Tanzania sembese na JPM anazidi kuwakazia mambo yao hayaendi soon watasema Tanzania hakuna uhuru wa kwenda chooni.
Ni wewe pekee na wenzako wasiopenda maendeleo ndio msiompenda, kwani kila anchokifanya ni katika kujenga misingi ya maendeleo yenye faida kwa watanzania wote,
Kampuni ya Bosch kutoka Ujerumani inayojihusisha na masuala ya Teknolojia imeonesha nia ya kuwekeza nchini katika masuala ya ufumbuzi/kukuza Teknolojia kutokana na nchi kuwa fursa kubwa ya ukuaji wa teknolojia ikiwa pamoja na kuanzisha kiwanda cha kuunganisha vipuli vya magari (automotive...
Benki ya Rand Merchant (RMD), Benki ya huduma za kifedha ya Afrika Kusini imewasilisha orodha ya nchi 10 zinazovutia zaidi kwa wawekezaji mwaka 2019. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ikiwa imeshika namba 7 kati ya nchi 10 zilizoainishwa.
Hatuna budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa...
serikali ina mambo mengi ya msingi ya kueleza wananchi wake Tundu Lissu ni kama wananchi wengine wakawaida tu yaan ni kama nukta moja kwenye topic yenye page mia moja. watu acheni kutunga sentensi kutumia neno tangazo la msemaji mkuu wa serikali.
UFISADI ndani ya CHADEMA.....!!! Pesa hazikuingia kwenye akaunti ya CHADEMA, Mbowe kazipiga zote za wahisani kudadeki....ndo maana hataki kuachia uenyekiti wa chama hicho ili aendelee kunufaika
kwa kweli hivi vyama vya siasa visipodhibitiwa mwisho wa siku vitageuka vikundi vya kiuhalifu.....na Mabeberu hutumia hivi hivi vyama kuleta vita ili kuweka kiongozi wanaemtaka na kuvuna rasilimali zetu.....
LAZIMA MUSWADA UPITA KUWA NA NIDHAMU
Nashindwa kumuelewa tundu lissu,kwani yupo kwenye matibabu au ziharani.huyu jamaa atakuwa anataka kutumiwa na ndio maana anachoulizwa yeye amemkazania rais magu na serikali yake ili asaidiwe na mataifa ya nje kupata uraisi.Lakini atambue hizo ndoto zake ni zake na wapigaji hela.Lakini sisi...
yani hawa wazungungu ukimnyima tenda ya ukandarasi lazima alete majungu.....Uzuri watanzania Tumepata Rais Asiyetetereka na mwenye Maamuzi Magumu..wanampigia mbuzi gitaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.