Tundu Lissu: CCM na Ukatili wake vitaondolewa kwa Tufani

Unaamini kuwa great thinker wa JF ni kuandika against Magufuli.... Sijaona point ya maana hapa
Bado unaamini kuna mkubwa wa dunia... Omba mungu ili siku moja muzungu afutike kwenye brain yako
Maadui ndani ya chama wanakuhusu nn ukiwa si mwanachama wa CCM? Udaku
Diplomasia ya nje iliwahi kukusaidia nini toka uhuru?
Kutuma mwakilishi kuna shida gani?
Umejitengenezea matatizo mwenyewe kichwani kisha unayakuza kuwa matatizo ya nchi...
Tutakua tunajidanganya kwa kusema kwamba nchi ipo salama!

Nchi haipo salama, ipo katika hatari! Chuki inayopandikizwa sasa inatakiwa ivurugwe kabla haijamea.

Itakua ni jambo la ajabu unapokataa neno Mkubwa wa Dunia, hao tunaowaita mabeberu ndio hao tunaowakimbilia kuomba misaada.

Endelee kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni maneno mazito ƴa mtetezi ƴa haki za binaɗamu nɗugu Tunɗu Lissu aliyoyatoa mbele ƴa watanzania waishio Washington DC nchini Marekani wakati akijibu maswali kutoka watanzania hao!

Kwa maoni ƴangu Mh. TL ƴuko sahihi. Bila kuwa ƙutengeneza Tufani ya kisiasa, watanzania wataenɗelea kunƴanƴasika uongozi mbovu wa taifa letu!

Kwa maneno ƴa TL, haitatokea hata siku moja CCM wakakubali Tume Huru ƴa Uchaguzi kirahisi bila kutengenezewa Tufani!

Mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100, kwa kuwa ni ukweli usiopingiƙa kuwa CCM wamezoea vya ƙunƴonga
maana vya kuchinja hawaviwezi.

Siasa za kistaarabu na kuheshimu utu wa wanaowakosoa si jadi yao. Ndiyo maana wamejifungamanisha na vƴombo vya dola ili kuhakikisha wanaendelea kutawala hata kama jamii ya watanzania haiwahitaji!

Ili CCM ƴa Jiwe na vikaragosi vƴake visambaratishwe, Tufani haiepuƙiƙi.
wewe mtoa post na huyo Tundu Lisu wako mmechoka na amani tuliyonayo, kwa maana mnapozungumzia TUFANI maana yake ni kuvuruga amani, nasi watanzania hatuwataki waleta fujo nchini kwetu,kama ni tume huru bado kuna njia nyingi za kuidai kwa amani.lakini inaonyesha nia yenu si tume bali kuchafua amani iliyopo ili kukidhi matakwa ya mabwana wenu wa ulaya wasiyoitakia mema nchi yetu wewe na Lusu wako MSHINDWE NA MLEGEE!!!!
 
Tutakua tunajidanganya kwa kusema kwamba nchi ipo salama!

Nchi haipo salama, ipo katika hatari! Chuki inayopandikizwa sasa inatakiwa ivurugwe kabla haijamea.

Itakua ni jambo la ajabu unapokataa neno Mkubwa wa Dunia, hao tunaowaita mabeberu ndio hao tunaowakimbilia kuomba misaada.

Endelee kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro amini unachoweza ila my dream was kumwajiri mzungu na nilishawahi kufanya hivyo...
Again my normal life msaada sio msamiati wangu...
So wewe shupaa shingo kwa kuwaabudu wazungu, wakubwa wa dunia na misaada......
Kukusaidia kikubwa nyuma ya hivyo vyote ni ushetani "New World Order"
Naamini bila msaada ntaishi na nchi itakwenda... God bless me
 
Una min ya mke anayenyanyaswa na mume na anazidi kuamini yeye ndie anaesababisha mume wake ampige kama anavyoambiwa na mume wake kila akichukua kipigo - ona sasa umenifanya nikupige tena! Watu wa aina yako mnahitaji msaada wa daktari wa magonjwa ya akili.

Trafiki wanawapiga na faini za uonevu, polisi wanaua ndugu zenu bila hatia hadi makanisanai na mnaambiwa hamuwezi kuwashitaki; mishahara haipandishwi, hali zenu za uchumi zinazidi kuzorota; mnanyimwa kwenda nje kutafuta fursa za maisha - na bado tu mnampenda mume na kusema nyie ndio mnasababisha awapige! I say.
Huo upuuzi unaouamini endelea kuuamini....
Kwamimi sijapigwa na nalima kijijini na maisha yangu mswano...
Msaada wa daktari unahitaji wewe.... Mimi am very good...
Tatizo mnahamisha matatizo yenu ya akili kwa kila mtu... Jibebeni
 
Unajua, upinzani wakiungwa mkono na western world, na kukiendelea kuwa na udanganyifu ambao CCM wamezoea kufanya wakati wa uchaguzi, na ukiukwaji wa haki za binadamu usikomeshwe, na serikali ya Magufuli kuendelea kugombana na nchi wahisani, kuna siku mtasikia Western World inasema inamtambua mtu wa upinzani kama Lissu kuwa ndio raisi wa Tanzania, kama vile kinachofanyika Venezuela. Usifikiri hilo haliwezi kufanyika dhidi ya Tanzania. Kwa hiyo wale wanaosema ziara za Lissue nje ya nchi hazimsaidii wanajidanganya sana. Lissu anaweka mtaji ambao unaweza kuja kutumika baadaye dhidi ya CCM , hata katika kipindi cha utawala wa Magufuli.

Lissu akigombea uraisi na Magufuli, kukawa na udanganyifu wa siku zote wa CCM, na mataifa matano tu makubwa duniani wakatangaza kumtambua Lissu kama raisi halali wa Tanzania, basi Magufuli hana chake, hata apige kelele na kupiga watu vipi. Msifikiri Lissu hajui anachofanya huko nje, anajenga hoja ya kutumia baadaye. Muulizeni Maduro wa Venezuela. Tatizo CCM mmejeaa ushabiki hamfikirii mbali zaidi ya urefu wa pua zenu na kutafakari mambo kwa kina.
kwani Maduro kapokonywa nchi? Hao wamtambue tu ila alieshikilia nchi anajulikana......mambo ya rais wa manzese
 
Ƴou have to unɗerstanɗ the concept! CCM haitashinɗa uchaguzi ulio wa huru na haki lakini watajitangazia ushinɗi! Ni Tufani pekee nɗiyo itawaondoa haijalishi ni leo, kesho au ɓaaɗa ƴa miaka laki moja!

Hii ni kwa sababu kadri siku zinavyosonga CCM wanakuwa ni wanƴama kuliko kuwa binaɗamu wa ƙarne ƴa 21wenye ustaatarabu wa hali ya juu!
Dah...
"Kila nyakati na kitabu chake" - Mzee Alli Hassan Mwinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom