Kwa nini chadema wanamuona Muzungu ni mtu fair?

Jinsi niwasomavyo chadema in kama vile wanaamini kabisa haki iko kwa Muzungu, yaani Muzungu ni mtenda haki na ukimpelekea shida au tatizo lako atatoa uamuzi ulio sawa.

Ni kwa nini chadema wanaamini hivi kama Muzungu mwenyewe kwenye nchi yake hakuna usawa, iweje akupe wewe usawa?

Hamuoni kwamba mnajishusha sana kama binadamu? Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...
Tundu Lissu: They call you 'Imperialists' yet you donate 50% to our budget. - JamiiForums
 
Jinsi niwasomavyo chadema in kama vile wanaamini kabisa haki iko kwa Muzungu, yaani Muzungu ni mtenda haki na ukimpelekea shida au tatizo lako atatoa uamuzi ulio sawa.

Ni kwa nini chadema wanaamini hivi kama Muzungu mwenyewe kwenye nchi yake hakuna usawa, iweje akupe wewe usawa?

Hamuoni kwamba mnajishusha sana kama binadamu? Kwa maana kwa kawaida mtu dhaifu haheshimiwi hata siku moja, hivyo Muzungu atamuheshimu mtu jeuri klk anayejishusha, ...
Mlipa pesa ndio mchagua wimbo.
 
Kweli na wewe utalipwa hela, kwa thread hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
true say mwamba,hakuna mtu mnafiki kama mzungu,ni vile watu tunajisahaulisha kwamba miaka ya tisini walitutawala na ku exploit mali zetu nyingi tu
 
Back
Top Bottom