Tanzania yashikilia nafasi ya 7 kwa kuvutia kwa uwekezaji Afrika

Bikomabilioni

Member
Nov 10, 2018
46
125
Benki ya Rand Merchant (RMD), Benki ya huduma za kifedha ya Afrika Kusini imewasilisha orodha ya nchi 10 zinazovutia zaidi kwa wawekezaji mwaka 2019. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ikiwa imeshika namba 7 kati ya nchi 10 zilizoainishwa.
1549660090297.png

Hatuna budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Tuendelee kuiunga mkono serikali yetu kwa kudumisha Amani na Umoja ili kuvutia uwekezaji zaidi na zaidi.
 
field marshall1

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
691
1,000
Benki ya Rand Merchant (RMD), Benki ya huduma za kifedha ya Afrika Kusini imewasilisha orodha ya nchi 10 zinazovutia zaidi kwa wawekezaji mwaka 2019. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ikiwa imeshika namba 7 kati ya nchi 10 zilizoainishwa.
View attachment 1017237

Hatuna budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Tuendelee kuiunga mkono serikali yetu kwa kudumisha Amani na Umoja ili kuvutia uwekezaji zaidi na zaidi.
TULITAKIWA TUISHINDE RWANDA NA KENYA....WAKATI WA KIKWETE TULIKUWA NAFASI YA 5 LEO TUMESHUKA NAFASI MBILI. KENYA WALIKUWA NYUMA YETU
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,925
2,000
Hivi tangu aingie mzee wa gundu JIWE ni mwekezaji gani serious kawekeza hapa ?
Ni swali zuri na la msingi, lakini hutaweza kujibiwa.

Kama kuna mtu anayejua, tangu Rais Magufuli aingie madarakani ni wawekezaji wangapi wamewekeza na ni kiasi cha thamani gani uwekezaji huo.

Nadhani kuna umhimu wa kulifanyia utafiti wa kina jambo hili ili tupate takwimu sahihi.
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
963

Unachotakiwa kujua ni,

- Kuna viwanda 3,000 vimeanzishwa tangu awamu ya Magu imeanza.

- Kuna ajira 1.5M mpya zimetengenezwa awamu ya Magu.

Ukibisha unahojiwa uraia wako.

Watu wamewekeza mabilioni kwenye PROPAGANDA.
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,903
2,000
Benki ya Rand Merchant (RMD), Benki ya huduma za kifedha ya Afrika Kusini imewasilisha orodha ya nchi 10 zinazovutia zaidi kwa wawekezaji mwaka 2019. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ikiwa imeshika namba 7 kati ya nchi 10 zilizoainishwa.
View attachment 1017237

Hatuna budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Tuendelee kuiunga mkono serikali yetu kwa kudumisha Amani na Umoja ili kuvutia uwekezaji zaidi na zaidi.
Mimi nadhani ni nchi ya kwanza. Huoni viwanda jinsi vinavyoota kama uyoga, na ajira kwa maelefu zinavyotengenezwa kila siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,147
2,000
Benki ya Rand Merchant (RMD), Benki ya huduma za kifedha ya Afrika Kusini imewasilisha orodha ya nchi 10 zinazovutia zaidi kwa wawekezaji mwaka 2019. Tanzania ni miongoni mwa nchi hizo ikiwa imeshika namba 7 kati ya nchi 10 zilizoainishwa.
View attachment 1017237

Hatuna budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Tuendelee kuiunga mkono serikali yetu kwa kudumisha Amani na Umoja ili kuvutia uwekezaji zaidi na zaidi.
Alafu kuna mwehu mwenye clutches mguuni anatapatapa yz kuna tatizo na mafuska menzake yanapiga vigeregere.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom