CHADEMA itoe kwanza boriti kwenye jicho lake kabla haijatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzie

magu sam

Member
Jul 20, 2018
62
50
Katika ripoti ya CAG imefichua mambo mengi ya siri na hasa ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA. Taarifa hiyo imeonyesha kiasi cha Tshs. 2,302,305,500/- zilizokusanywa kutoka kwa wahisani mbalimbali hazikupita katika akaunti ya bank ya chama na wala matumizi yake hayajaandikwa popote pale, Fedha hizo zilikusanywa kwa miaka miwili tofauti.

Kipindi cha 2014/2015 CHADEMA ilikusanya kiasi cha Tshs. bilioni 4 na 2015/2016 ilikusanya Tshs. 2,297,885,500/-. Fedha hizi zote zilikusanywa bila kupitia bank na matumizi ya fedha hizo hayajulikani kinyume na kifungu cha 15(1) cha sheria Na. 5 ya mwaka 1992 ya Vyama vya Siasa.

Matumizi ya Tshs. 24,216,625,390/- (bilioni 24) yalifanyika bila ya kufuata utaratibu kama inavyoagizwa kwenye sheria ya usimamizi wa fedha ya CHADEMA kifungu Na. 16.2.2.

Kwa hili lazima watu macho yawatoke kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa maana kuna ulaji unabanwa pale. Sasa na mambo kama haya basi nategemea Lisu atayaongelea pia kwani amekuwa akijifanya anapinga ufisadi.

Nakumbuka jinsi Lissu alivyomuita Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa tena papa na baadaye akawa anapata kigugumizi cha namna ya kumsafisha. Inabidi sasa badala ya kuzunguka tu Ulaya kuichafua Serikali ya awamu ya tano, pia akemee ufisadi mkubwa unaoendelea kwenye chama chake na wazungu wausikie (asiwe biased).

Na Munir Omary
 
UFISADI ndani ya CHADEMA.....!!! Pesa hazikuingia kwenye akaunti ya CHADEMA, Mbowe kazipiga zote za wahisani kudadeki....ndo maana hataki kuachia uenyekiti wa chama hicho ili aendelee kunufaika
 
:oops::oops::oops: Heee!!! jamani kelele zote hizo kumbe wana madudu wameyakumbatia!!! kwa mtindo huo Mbowe hawezi kukubali kuachia kiti.
 
Si unaona wanavyoogopa hata kukarabati makao yao makuu. Wanajua ipo siku watagawana fito kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na makao makuu ya kudumu. Pale ni kitengo cha upigaji tu.
 
Katika ripoti ya CAG imefichua mambo mengi ya siri na hasa ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA. Taarifa hiyo imeonyesha kiasi cha Tshs. 2,302,305,500/- zilizokusanywa kutoka kwa wahisani mbalimbali hazikupita katika akaunti ya bank ya chama na wala matumizi yake hayajaandikwa popote pale, Fedha hizo zilikusanywa kwa miaka miwili tofauti.

Kipindi cha 2014/2015 CHADEMA ilikusanya kiasi cha Tshs. bilioni 4 na 2015/2016 ilikusanya Tshs. 2,297,885,500/-. Fedha hizi zote zilikusanywa bila kupitia bank na matumizi ya fedha hizo hayajulikani kinyume na kifungu cha 15(1) cha sheria Na. 5 ya mwaka 1992 ya Vyama vya Siasa.

Matumizi ya Tshs. 24,216,625,390/- (bilioni 24) yalifanyika bila ya kufuata utaratibu kama inavyoagizwa kwenye sheria ya usimamizi wa fedha ya CHADEMA kifungu Na. 16.2.2.

Kwa hili lazima watu macho yawatoke kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa maana kuna ulaji unabanwa pale. Sasa na mambo kama haya basi nategemea Lisu atayaongelea pia kwani amekuwa akijifanya anapinga ufisadi.

Nakumbuka jinsi Lissu alivyomuita Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa tena papa na baadaye akawa anapata kigugumizi cha namna ya kumsafisha. Inabidi sasa badala ya kuzunguka tu Ulaya kuichafua Serikali ya awamu ya tano, pia akemee ufisadi mkubwa unaoendelea kwenye chama chake na wazungu wausikie (asiwe biased).

Na Munir Omary

Aiseee... mnavyohangaika mpaka mnatia huruma...... lakini si mlishakula?? sasa shida nini tena? mara CAG, mara Lissu... tutaona mengi sana hapo mbele...
 
Katika ripoti ya CAG imefichua mambo mengi ya siri na hasa ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA. Taarifa hiyo imeonyesha kiasi cha Tshs. 2,302,305,500/- zilizokusanywa kutoka kwa wahisani mbalimbali hazikupita katika akaunti ya bank ya chama na wala matumizi yake hayajaandikwa popote pale, Fedha hizo zilikusanywa kwa miaka miwili tofauti.

Kipindi cha 2014/2015 CHADEMA ilikusanya kiasi cha Tshs. bilioni 4 na 2015/2016 ilikusanya Tshs. 2,297,885,500/-. Fedha hizi zote zilikusanywa bila kupitia bank na matumizi ya fedha hizo hayajulikani kinyume na kifungu cha 15(1) cha sheria Na. 5 ya mwaka 1992 ya Vyama vya Siasa.

Matumizi ya Tshs. 24,216,625,390/- (bilioni 24) yalifanyika bila ya kufuata utaratibu kama inavyoagizwa kwenye sheria ya usimamizi wa fedha ya CHADEMA kifungu Na. 16.2.2.

Kwa hili lazima watu macho yawatoke kwenye Muswada wa Vyama vya Siasa maana kuna ulaji unabanwa pale. Sasa na mambo kama haya basi nategemea Lisu atayaongelea pia kwani amekuwa akijifanya anapinga ufisadi.

Nakumbuka jinsi Lissu alivyomuita Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa tena papa na baadaye akawa anapata kigugumizi cha namna ya kumsafisha. Inabidi sasa badala ya kuzunguka tu Ulaya kuichafua Serikali ya awamu ya tano, pia akemee ufisadi mkubwa unaoendelea kwenye chama chake na wazungu wausikie (asiwe biased).

Na Munir Omary
Ngoja waje waanze matusi,bado wanapiga vyombo kupandisha stimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mwizi hatakiwi kufungua mashtaka dhidi ya mwizi mwingine aliyemkamata?
 
Acha ungese wewe mbumbumbu mbulula kilaza mkubwa ufisadi upo CCM CAG kapita huko akakuta balaa polepole peke yake kala nyingi bado katibu mkuu na wengineo huko CCM, kuna ufisadi kupita huu wa trilion 1.5 umefanywa na chadema? Kujenga chato Airport porini kijijini kwenye Fisi wengi kumefanywa na chadema? Ufisadi kwenye ununuzi wa ndege kula 10% kwenye miladi ya flyover, reli nk wanakula chadema? Toeni boriti nyie CCM kwanza ndipo mwende kwa wengine, hivi kama sio wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa ulaya? Chanzo ni wewe alafu wewe tena unataka kuwa chanzo cha kutengeneza Sinema za kuwahadaa watanzania, acheni ushamba wenu tambuaeni kuwa wananchi wameamka wanazijua Sinema zote za CCM.
 
Ngoja waje waanze matusi,bado wanapiga vyombo kupandisha stimu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo matusi wezi wa Nchi hii ni CCM ambao sasa wanachukua pesa BOT Hazina kienyeji kisa Katibu mkuu ni mtoto wa nje wa mtukufu malaika toka chato ingawa huzuga ni ni mtoto wa Dada yake, CCM huchukua pesa kienyeji kwa kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa Taifa hususani pesa za kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla, pesa inayotumika kudumaza demokrasia nchini ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja toka dsm mpaka Zanzibar na pemba na pia kujenga viwanda kila wilaya na kujenga Hospt za rufaa kila mkoa.
 
Si unaona wanavyoogopa hata kukarabati makao yao makuu. Wanajua ipo siku watagawana fito kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na makao makuu ya kudumu. Pale ni kitengo cha upigaji tu.

Acha ushamba wewe kutwa kuwahujumu chadema inabidi watumie pesa nyingi kujihami na hujuma za CCM lakini kungekuwa na uhuru wa kufanya Siasa nchini kila chama kingepiga hatua na CCM ingeshakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
UFISADI ndani ya CHADEMA.....!!! Pesa hazikuingia kwenye akaunti ya CHADEMA, Mbowe kazipiga zote za wahisani kudadeki....ndo maana hataki kuachia uenyekiti wa chama hicho ili aendelee kunufaika

Pesa inapigwa CCM kumbuka kinana alikomba A/C ya CCM ikawa nyeupe na sasa akina polepole wameunda kikundi cha kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja wanatafuna pesa za umma kama mchwa, wezi ni CCM pesa za walipa kodi zinamalizwa na CCM, kutwa Bashite anaanzisha vikundi vya kuwaangamiza chadema na vyote vinagharamiwa kwa pesa za umma.
 
CCM ndiyo Sumu ya maendeleo kwenye Nchi hii wanakula pesa za umma kwa mambo ya hovyo hovyo yasiyo na Tija kwa Taifa.
 
Acha ushamba wewe kutwa kuwahujumu chadema inabidi watumie pesa nyingi kujihami na hujuma za CCM lakini kungekuwa na uhuru wa kufanya Siasa nchini kila chama kingepiga hatua na CCM ingeshakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
Umeandika ujinga.
 
Acha ungese wewe mbumbumbu mbulula kilaza mkubwa ufisadi upo CCM CAG kapita huko akakuta balaa polepole peke yake kala nyingi bado katibu mkuu na wengineo huko CCM, kuna ufisadi kupita huu wa trilion 1.5 umefanywa na chadema? Kujenga chato Airport porini kijijini kwenye Fisi wengi kumefanywa na chadema? Ufisadi kwenye ununuzi wa ndege kula 10% kwenye miladi ya flyover, reli nk wanakula chadema? Toeni boriti nyie CCM kwanza ndipo mwende kwa wengine, hivi kama sio wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa ulaya? Chanzo ni wewe alafu wewe tena unataka kuwa chanzo cha kutengeneza Sinema za kuwahadaa watanzania, acheni ushamba wenu tambuaeni kuwa wananchi wameamka wanazijua Sinema zote za CCM.
Sasa wewe nyumbu matusi ya nini, si na wewe uje na taarifa zako. Nimetamani nikupe tusi la mwaka kufidia hayo uliyotukana lakini ngoja nikustahi maana ndio kula yako na unalipwa kwa kazi hiyo kunguni wewe. Ununuzi wa ndege mmeushikilia kweli, si bora hata huyu ndege tumeziona, wewe mbuzi kinachokutesa ni kwa sababu huna uwezo wa kuzipanda na kufuata mkumbo. Fala wewe stupid.
 
Back
Top Bottom