The bottom line is, women are unpredictable; you are either in or out !! Otherwise you'll die prematurely !! We are living in a very different era !! Your thinking has to be different; always ahead, and readily prepared for whatever comes next !! Women today are not mothers of yesteryears !!
UHALALI WA NOTISI YA MASAA 24 KISHERIA
Kwa mujibu wa ELRA, 2004 (Revised 2019) na Code of Good Practice, 2007; notice ya kusitisha ajira lazima ifuate:
Section 41: Notice lazima itolewe.
Section 44: Notice lazima ifuate minimum periods.
Kwa hiyo, notice ya masaa 24 haipo kwenye sheria kama...
MWONGOZO/UTARATIBU:
1. Sababu za Kisheria za Kusitisha Mkataba (Employer & Employee)
Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini (ELRA, 2004) inatambua sababu kuu zifuatazo:
A. Sababu za Mwajiri (Employer)
Utendaji duni (poor performance):-
Lazima uthibitishwe kwa tathmini na mafunzo ya marekebisho...
Kwa sasa, ndoa ya kiserikali Tanzania haiwezi kufungwa kwa njia ya mtandao (Zoom/Google Meet). Sheria inataka wanandoa wote wawili wawe PHYSICALLY mbele ya ofisa wa serikali aliye na mamlaka ya kufungisha ndoa.
Mambo ya Msingi Kuhusu Ndoa ya Kiserikali Tanzania
Sheria ya Ndoa Sura ya 29 (Toleo...
Kwa ufupi:- Ndiyo, unaweza kuwa na TIN bila biashara, kupitia non-business TIN, hasa kwa leseni ya udereva, usajili wa gari, au shughuli rasmi za kifedha.
KWA UFUPI:
Katika sheria za Tanzania, Treasury bond inaweza kuhesabiwa kama mali ya ndoa (matrimonial property) ikiwa ilipatikana kwa juhudi za pamoja wakati wa ndoa. Ikiwa ni uwekezaji binafsi uliofanywa kabla ya ndoa au bila mchango wa mwenzi, inaweza kuhesabiwa kama mali ya kibinafsi...
Nakubaliana na wewe !! Ni vizuri kuwajengea tabia ya kujitegemea huku ukifanya monitoring !! Pia wanahitaji kupata muda wa kupumzika na kujichanganya na wengine (BUT) wenye malezi yanayoeleweka....Kingine wazai wanahitaji kuwa karibu na watoto wao ili kujua changamoto wanazokumbana nazo...Unoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.