Mke wangu amebadilika sana

Mke wangu amebadilika sana

......vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi...... (The Correct Answer Lies Here) !!
 
Ukiona mbwa anakubwekea ujue amepata mtu wa kumlisha.

Ukiona panya anamchekea paka ujue kuna shimo lipo karibu.

Kama ananuna nuna bila sababu muulize kinachomnunisha kama hajibu mwambie aende akanunie kwao, hajaolewa kuja kununa nuna (wakati huo ukimtolea virago vyake).

Fanya mpango na hiyo biashara irejee mikononi mwako na utafute mtu mwingine aisimamie.
 
nlishampeleka kwao kupumzka na nlipofka sku nageuka nikamega mdogo mtu potelea pote kama nlikosea..
 
Mnaendeleaje sasahvi ???

Ninachojua kwasababu sisi wanawake yaan ndo tupo hivo tayari huko kwenye biashara kapata mwanaume anamdanganya 98%

Yupo na mwanaume mwingine
 
1. Huyo ni mkeo siyo mchepuko, muite ukae naye, ongea naye tena kwa unyenyekevu sana ujue kuna tatzo gani, yawezekana kasikia jambo kukuhusu.
2. Mpe nafasi ya kujieleza, usiwe mbabe
3. Jaribu kumdadisi kuhusu biashara zake kama kuna heri
4. Jaribu kuchunguza marafiki zake wa karibu
5. Usitengeneze taharuki sana kwa kumkatisha majukumu ambayo anatakiwa akufanyie.
6. Jaribu kumletea vizawadi mara kwa mara.

7. Kubwa zaidi:
MSAMEHE MADHAIFU YAKE, NA MUOMBEE KWA IMANI YAKO ILI NDOA YENU IFANYIKE KUWA BARAKA.

8. yakizidi sana itisha kikao cha wazazi pande mbili (kwako na kwake), hapo usimuite mchungaji wala padr wala shekhe maana hao wote wana mambo yao ya kikuda sana'
Kaka WEWE una akili zaa MAISHA SANA salute mkuuu, big ideas
 
Muda mwingine mwanamke haendi bila kipigo au kuwa mkali, ukiwa soft sana ukadhani ndio mapenzi yeye ataona wewe ni dhaifu, mara moja moja akizingua piga hata vibao viwili vya mashavu
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibizana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingine naweza mkemea jambo fulani akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundisha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hizi ni kama anakwepa tofauti na kipindi cha nyuma alikuwa anapenda sana hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juzi niliamua kwamba asifanye jambo lolote linalonihusu yaani asifue nguo zangu nitafua mwenyewe, asinipikie nikitoka kazini napika mwenyewe, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabaki amenuna tu na mi sina habari.

JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Hivi ulioa bila kufundishwa ndoa ni nini?Rudi kwenye basics za ndoa
 
Juzi niliamua kwamba asifanye jambo lolote linalonihusu yaani asifue nguo zangu nitafua mwenyewe, asinipikie nikitoka kazini napika mwenyewe, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabaki amenuna tu na mi sina habari.

JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Umeamua VYEMA na huo ndio Uanamume, mwanaume haimbi Taarabu ndani ya nyumba yake nguvu ya mwanaume ipo kwenye mikausho mikali vitendo vingi maneno maachache...
 
Mbona ni kama both team to score yami hujali naye hajali hii inekaaje
kwa vile sjaandka nn kilimpata baada ya uamuz wng huo ndo useme both team to score, kwa taarifa yako alikonda ndan ya sku 2 tu chakula hakpandi misamaha ya mdomo aligonga mwamba kwa sms aligonga mwamba, kwa kilio aligonga mwamba mi nlikuwa sjbu ktu wala hata sina hbr kwasasa yupo kwao nlimpeleka akajfunze.
 
Wakuu kheri ya 9D kwa wapigania haki wote wa TANGANYIKA.

Mke wangu nimeishi naye wastani wa miaka 4 sasa alikuwa mnyenyekevu, mpole, si muongeaji sana hata akiwa na wenzie, heshima kwangu ni miongon mwa vitu nilijivunia kuishi naye, kuniskiliza na hakuwa mtu wa kujibizana na mimi.

Sasa ameanza kunijbu majibu ya mkato na wakati mwingine naweza mkemea jambo fulani akatoka nje huku anabamiza milango kavuta mdomo sjawahi kumpiga maana siamini katika kupiga mwanamke, nimejikuta natafakari mambo mengi sana maana nilimpa mtaji wa biashara pengine huko kwenye biashara yake amekutana na watu wamempa kiburi na kumfundisha tabia ngeni kwangu ukizingatia hata sex yenyewe siku hizi ni kama anakwepa tofauti na kipindi cha nyuma alikuwa anapenda sana hilo tendo au vihela anavyopata vinampa kiburi sielewi.

Juzi niliamua kwamba asifanye jambo lolote linalonihusu yaani asifue nguo zangu nitafua mwenyewe, asinipikie nikitoka kazini napika mwenyewe, sihitaji k yake tena na wala staki story nae. Kabaki amenuna tu na mi sina habari.

JE WAKUU NIMEAMUA VEMA AU NIFANYE NINI?
Mkuu mpaka sasa hujampandisha cheo?

Kama huwezi mpeleke likizo ya miaka mitatu kwao
 
Mkuu umeoa Singida sehemu gani?
aaahaaaah umejuaje mwambaaaa? Nmeoa kijiji kimoja knaitwa UG'HAG'HA jiran na pale secondary...kama unapajua ukiwa hapo kijijin makiungu unaiona kwa mbali hata kwa mguu unafka.
 
Back
Top Bottom