Vilevile kigugumizi kinaweza kutokea pale mtu kapata ajali na ikamsababishia majeraha makubwa upande wa kushoto wa kichwa na eneo la broca likaathiriwa na hyo ajari.
Hayo ni matatizo ambayo mtu huzaliwa nayo mkuu na hakuna tiba. Upande wa kushoto katika ubongo wa binadam lugha ndiko inako ratibiwa, kuna eneo linaitwa broca's area ambalo ni maalum kwa uzalishaji au utamkaji wa lugha, kama hilo eneo linamatatzo huwa mtu huwa na matatzo kama hyo ya kigugumiz...
Cha msingi ni kutoa elimu kwa watu ili kupinga katiba kwa kura ya hapana. Nasikitika sana sababu wanaondoa vitu vya msingi ili tuu kuendelea kutupeleka pabaya zaidi. Kuondolewa kwa vifungu kama hivyo kwenye katiba tutaendelea kuwa na viongozi walewale wanaojali maslahi yao na si kuwatumikia...
Duuu jamani, toeni ushauri na sio kumshambulia mtu kwa maneno ya matusi na kumumiza zaidi. Hata kama ni malaya mshauri kwani nalo ni tatizo la kushauriana kuliko kumshambulia kwa maneno mazito. Pole sana, jitahidi kuzidisha maombi Mungu atakusaidia mpendwa.
Hata kama lakin hvyo!!! Unashuhudia binamu mwenzio anaungua kama kuni!! bado umeganda kama unaangalia kombe la dunia. Wanamakosa ndio lakin kwa hyo hali inaumiza sana.
Hospitali zipo nenden elezen tatizo lenu msaidiwe. Usichukulie kama ni tatizo lake bali lenu wote. Kumwacha utakuwa hujamtendea haki mwenzio. mwanaume lazima usimame wakat wte kukumbana na changamoto.hta kama humpend msaidie kwanza kwa hilo mkuu.
Umenena mkuu japo wachangiaji wengine wanaendeshwa na hisia za din zao na sio uharisia. Hilo suala linatengeneza matabaka sana mashulen. kwa anayefuatilia atakujua tu.ila kwa aliye jiandaa kubisha atabisha tu ucshituke kwa 7bu mda mwingine hisia za mtu zinatawala ukweli hta kwa ktu kilicho waz.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.