Hivia mkuu wewe ni me au ke
Wadau kuna friend wangu anatafuta boyfriend
yeye ana umri wa miaka 21
Sio bonge mrefu wastani
Na pia ni rangi maji ya kunde
Anae muhitaji awe ana
Umri kati ya 21 adi 23
Asiwe mfupi sana wala mrefu san .
Dini muislam, mapenzi ya kweli muhimu pesa badaeeeeeeeeeeeee

Ayu changamkia hapo ndugu yangu
eeehh bf miaka 21 to 23 si mapenzi niue hayooo....why not from 25
jina lake limefanana na mtoto wetu kandili
Neddy mbona mi sijakuchongea kwa ICHANA kuwa unataka kuiba mokoyo
ohooooooops nilisahau kama tuko team moja but mwallu ni my dada u know
ohooooooops nilisahau kama tuko team moja but mwallu ni my dada u know
kweli nkulu siwezi kukuuzaHalafu damu nzito nzuna