Nahitaji mchumba wa kiume

Nahitaji mchumba wa kiume

Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

ushapata mchumba?
 
Utapata tu dada. kigezo kimoja tu kimeniangusha hapo. dini.
 
Ujua kuimba? coz watu wa mbeya kwa kutoa singoliooo!!!
 
Vgezo vyote ninavo bt inabd uje kuamia(kuish) pemba. Ukikubali ilo ata kesho nachukua usafr nskuja kukuangalia unstmimza Vgezo vya mke
 
Daa!!! Jamani nna kila kigezo af nipo green city. Nipatie bac contact ili tufanye kapango ila kupima lazima kama tutaenda sawa.
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

Vingine vyote utapata sema umri tu hapo ndo nime-disqualify haya mama kila la kheri
 
naam umesikika,mama bila shaka utakuwa ni binti unayejitambua kwa maana hiyo naitwa anold nimuajiriwa ktk taasisi moja kubwa tu africa mashariki, ni muhitimu ngazi shahada kwa mawasiliano nicheki kwenye email hii pjustincol@gmail.com

Hapo tu watanzania tunapokosea, km unavigezo nenda pm usitusumbuwe na kuajiriwa kwenye makampuni yako makubwa africa mashariki..............
 
Npo mie we sema tu.Jina langu naitwa joseph mbaga.Nina elimu ya chuo mwaka wa tatu sasa hv.Nasomea tax ktk chuo cha usimamiz wa fedha(IFM).Na naishi dar-es-salaam ila nimepanga.Na kwa umri wangu nina miaka 26.Na kwa mawasiliano zaid namba zangu za cm hz 0689 049244 au 0654 115326

Ha ha ha ha mkuu umefunguka balaa!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

Usaili ukiwa tayari uje utujuze hapa!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm


Mbona kimya umepata?
 
Nina miaka 25,

Muajiriwa.

Elimu yangu ni shahada.

Mkristo mcha mungu.

Niko mbeya.

Nimtakaye awe na umri kuanzia miaka 28 had 35.

Elimu kuanzia form six,

Mwajiriwa au aliyejiajiri,

Mkristo mcha mungu.karibuni pm

Wanawake ni maua subiri jamaa waje wakuchavushe
 
Nadhani ndo huyu
 

Attachments

  • 1406458146303.jpg
    1406458146303.jpg
    45.8 KB · Views: 121

Similar Discussions

Back
Top Bottom