Recent content by Bigbon

  1. Bigbon

    Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Hata kama jamaa ana makosa haifai kufanyiwa hivyo. Kila jambo lina utaratibu wake. Kama jamaa ana makosa ni vyema akamatwe na kupelekwa panapo stahili Ndugu zetu au wenye vyeo wakiamua hivi je sisi wananchi wa kawaida itakuwaje Nishauri jambo hili likemiwe na wahusika waajibishwe kwa kujibu...
  2. Bigbon

    Serikali inunue Magari ya idara zote za Halmashauri ili kuleta tija na Ufanisi Nchini

    Ahsante . Halmashauri zimebaki 184 ile 185 ya Dsm jiji imefutwa.
  3. Bigbon

    Tanzania ina mikoa 26 na kila mkoa una wazee. Kwanini Rais wa JMT azungumze na wazee wa Dar pekee?

    Sababu ni hizi 1.Rejea wa wakati wa kutafuta uhuru Wazee wa dar walitumika pia. 2.Mkoa wa darasani ina Wazee wa mikoa yote kuliko mkoa mwingine Tanzania. 3.Wazee wa dar wanawakilisha Wazee wa mikoa mingine( Dar ni sampuli ). Naomba kuwasilisha
  4. Bigbon

    Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

    Mkuu kweli huoni unafuu....hii 6%ilikuwa janga kuliko 15%.hii sasa deni litaisha kwa wakati..
  5. Bigbon

    Mikopo Elimu ya Juu: Hatimaye Value Retention Fee 6% yaondolewa

    Mama amesikiliza kilio cha watumishi kwa vitendo haswa wanateseka na Bodi ya mikoponya elimu ya juu..Hongera sana mama...Nani kama mama.
  6. Bigbon

    Waziri wa Fedha na Mipango ateuliwe Profesa Musa Assad

    Katiba hairusu mtu akiwa CAG...Kushika nafasi yoyote serikali baada kuacha kazi hiyo mkuu
  7. Bigbon

    Mnaosema Yesu ni Mungu msisahau kuwa Yesu alikuwa fundi seremala ili kujipatia riziki yake

    Nalo hilo neno...pengine kuna kiumbe alikaimu... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Bigbon

    TBS kuweka viwango vya mifuko mbadala, iliyopo sasa bado ina plastiki

    Watalaam vipi na hizi kondom zinaoza?
  9. Bigbon

    Kipi bora kununua incubator au kuanza nae kuku wa kienyeji 40?

    Mkuu nami nina wazo kama ilo nmejena banda kubwa tu.....Nipo njia panda nifuge kwa vifaranga au ninunue kuku wakubwa?. ww kwa matazamo wako ni lipi jema.
  10. Bigbon

    Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

    Unajua tofauti kati ya hizo bank[World bank and ADB] na IMF katika maswala ya kiuchumi.riport bora kuhusu uchumi hutoka IMF.na sio hizo banks.
  11. Bigbon

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Sawa....ALLAH amfanyie wepesi kijana abaki na msimamo wake kama muislam kweli.amepe maelezo ya dini huyo binti ili awe muislam wa kweli.
  12. Bigbon

    Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

    Huyu kijana ni muislam au ana jina la kiislamu. kwa mtazamo wangu inawekezana ukafurahia jambo ambalo mwisho wake unapata hasara au dhambi. Katika muislam bill gate au binti yake bill gate wana umuhimu gani hadi ushangae hivyo?......
  13. Bigbon

    Inawezekana kweli kijana kutoka kimaisha katika utawala huu?

    Vijana wa CCM .wanatoboa sana Mkuu.Kwa sababu wao sio wapiga madili.Karibu kambini.Kijana wa CCM akianzisha biashara na akatumia ilani ya Uchaguzi ya chama mapema kabisa anatoboa.
Back
Top Bottom