Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam

Muislamu anaoa kafiri! Kweli pesa ni jawabu la mambo yote.
Mbona wengi sana wanaolewa na Waislam hata Kwetu hapa na hawana hata pesa.

Lakini ukioa Bint wa Bill Gate ni bingo hiyo.
 
Kwahiyo kawaona waislam wenzie wanaojitanda nakujstiri vzur Hawafai kitu badala yake kawafuata mnaowaponda kila siku nakuwaita watembea uchi hahahaaa amakweli Kuna dini znapoteza mvuto kwa speed ya Jet

In shaa Allah na huyo bint ataiona NURU ya Uislam na kuwa mvaa hijab kama Bi Maryam mama'ke Yesu alayhi salaam. Amiin.
 
HaHahaaaaa umenifanya nicheke kama chiz
Tena hata mimi nimecheka sana na kufurahia sana kuona kuwa Kijana wa Kiislam yupo katika kumtoa bint kwenye ukafir na kumuingiza kwenye kujisalimisha kwa Allah.

Lazima tuchekelee na tufurahi sana. Tuko pamoja.
 
Udini ndiyo nini? Nifahamishe ili nisiwaudhi wasomaji wengine maana naona wengi wanazozomoka humu "udini, udini".
Jitoe akili tu lakini ujumbe ushakufikia natumai siku nyingine utaacha!
 
hii habari ni ukweli hakuna uongo,

VISIT GLOBAL CHAMPIONS WEBSIT


View attachment 984606
Nayel Nassar (EGY) was introduced to equestrian sports at age five at a riding center in Kuwait. He began jumping at age ten and his parents purchased a young horse for him shortly thereafter. Nayel was interested in many different sports as a child but riding proved to be his passion in the long run. Nayel has proven to be a motivated competitor internationally, winning several Grand Prix and qualifying for the FEI World Cup™ Finals in 2013, 2014 and 2017, and the FEI World Equestrian Games™ in 2014.

Born in Chicago, IL, Nayel has always ridden for his parents' homeland of Egypt. Nayel moved from Kuwait to California in 2009 to pursue his studies at Stanford University, graduating with a degree in Economics. A world traveller, Nayel is fluent in Arabic, French, and English.



Recent Success:

15th place - Longines Masters of Paris CSI 5* Grand Prix

9th place – Longines Masters of Paris Speed Challenge CSI 5*

1st place – Equestrian Centre de Peelbergen Prix CSI 2*

7th place – Seacon Logistics Prix CSI 2*

2nd place – Prijs DCM CSI 2*

inavyolipotiwa huko yuotube

na hawa wazungu wa youtube ni wadini,maana nao wamesema muislamu.

wametumia haya maneno
ll Gates' daughter jennifer is dating an Egyptian ( arab muslim ) . his name is Nayel Nassar



hujaelewa kilichowasilishwa na mleta mada au umeelewa unataka niamini kama unavyoamini wewe!

mleta mada ana udini kama hujaona hilo basi endelea kutoona!
 
Muislamu ndugu yske wa1 ni Muislamu sasa iweje huyu kijana kasaliti aya

Naam hujakosea Muislam nduguye ni Muislam kwa hali na mali. Na huyo bint In Shaa Allah tunamuombea na yeye aione Nuru ya Allah awe Muislam.

Hakuna aya iliyosalitiwa hapo, jisomee:

Qur'an 5:
5. Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini bila shaka a'mali yake imepotea, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
 
Mbona wengi sana wanaolewa na Waislam hata Kwetu hapa na hawana hata pesa.

Lakini ukioa Bint wa Bill Gate ni bingo hiyo.
Uzur WA waislam ni wepesi sana kuhalisha kharamu kuwa halali mathalan kufuturishwa na wanaowaita makafir usiku na mchana tena Bila kuwa nauhakika kuhusu nyama walazo wamechinja haohao wandaa ftari
 
Kweli kabisa, hilo hakuna ubishi. Hata Firauni alikuwa Mmisri.

Lakini mimi nimeweka source ya hiyo habari na video, rudia post namba moja. Kama kupotosha basi ni vyanzo, si mimi.

Bill Gate ana mali ana nasaba ana influence, bint nae ni mzuri Ma Shaa Allah.

Madogo hayo?
Sawa....ALLAH amfanyie wepesi kijana abaki na msimamo wake kama muislam kweli.amepe maelezo ya dini huyo binti ili awe muislam wa kweli.
 
Uzur WA waislam ni wepesi sana kuhalisha kharamu kuwa halali mathalan kufuturishwa na wanaowaita makafir usiku na mchana tena Bila kuwa nauhakika kuhusu nyama walazo wamechinja haohao wandaa ftari

Si kweli, haramu zimetajwa zote katika Uislam na halal pia zipo wazi kabisa.
 
Vipi na wanaowakata viungo albino nao ni dini gani? wanaoua vikongwe kwa imani za kishirikina nao ni dini gani? wanao wachoma moto vibaka mitaani nao dini gani? kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,Mfano,haliwezi jambo likafanywa na Muhaya mmoja au kikundi cha wahaya kisha ukalaumu wahaya wote kua sio watu wema!
TATIZO HAO WANAOJILIPUA WANATUMIA AYA HIZOHIZO KWENYE QURAN KUHALALISHA MAUAJI HAYO
 
Uzur WA waislam ni wepesi sana kuhalisha kharamu kuwa halali mathalan kufuturishwa na wanaowaita makafir usiku na mchana tena Bila kuwa nauhakika kuhusu nyama walazo wamechinja haohao wandaa ftari

Si kweli, haramu zimetajwa zote katika Uislam na halal pia zipo wazi kabisa.

Uislam ni raha sana.
 
Nayel Nassar is the lucky guy dating Bill Gates’ daughter Jennifer Katharine Gates. To date the daughter of one of the richest guy in the world, Nayel must have some good qualities. Nayel Nassar and Katharine Gates have been dating for quite some time now. But only in July of 2017, the French Le Parisien‘s published article confirmed the relationship between Nayel and Katharine.
Umekuwa exited na hili jambo mpaka nashangaa.
 
Si kweli. Huo ni ujinga uliojazwa nao na ukakujaa. Katika Uislam ni haramu mtu kujiuwa kwa namna yoyote ile.

Na pia Uislam hauruhusu kuuwa bila sababu.
TATIZO HAO WANAOJILIPUA WANATUMIA AYA HIZOHIZO KWENYE QURAN KUHALALISHA MAUAJI HAYO

Uhakika bint wa Bill Gates anafahamu hayo kuliko wewe ndiyo maana hana wasiwasi kapoa kwa handsome la Kiislam.
 
Back
Top Bottom