Kipi bora kununua incubator au kuanza nae kuku wa kienyeji 40?

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,009
7,309
Wakuu habarini na poleni na mihangaiko ya hapa na pale...

Wakuu nilikuwa nakijimtaji cha laki 5 hapa , na mwaka huu nataka kufuga kuku wa kienyeji, na baadaye nije nichanganye na chotara au wengine huita wamalawi....

sasa Wakuu lipi ni wazo bora kati ya kununua incubator ya mayai 96 nikatotoresha kuku wa kienyeji nakuanza na kuku wakiwa wadogo (vifaranga) au niingie kijijini nitafute kuku 40 nianze kuwafuga wakiwa tayari wakubwa?

Wenye uzoefu kidogo na wenye mawazo naomba mnisaidie katika hili Wakuu, natanguliza shukrani zangu.
 
Mkuu nami nina wazo kama ilo nmejena banda kubwa tu.....Nipo njia panda nifuge kwa vifaranga au ninunue kuku wakubwa?. ww kwa matazamo wako ni lipi jema.
 
Mkuu Mimi naona bora kununua incubator, kwani Licha ya gharama, ukiitunza vizuri itadumu muda mrefu, na utatimia Kama ajira kuwauzia watu vifaranga au nimekosea mkuu?
 
Kwani hiyo incubator ina gharimu kiasi gani??
Mkuu zipo incubator za bei tofauti Kulingana na ufanisi...mfano kuna incubator za mayai 30,48,96, mpaka mayai 1000 huko pia zipo incubator za Umeme, solar, gesi na mafuta ya taa pia sio hivy9 tu kuna incubator automatic ambayo inageuza mayai yenyewe na manual ambayo unageuza mayai wew...... bei inaanzia 130 kwa mashine inayotumia mafuta ya taa Kama sijakosea sana
 
Mimi nilinunua wa miez miwili mpaka mitatu nimewakuza... Ila sasa nafikiria kununua incubator nitotoleshe vifaranga.....

Pia natamani kufuga wa mayai ila sina uzoefu nao mwenye kujua anipe process mpaka wanataga nifuate hatua zipi

Pia naomba kujua incubator inachukua Muda gani mpaka vifaranga kutoka
 
Incubator inatotoa siku 21 kama kuku pia unaweza kuweka mayai ya ndege yeyote ni kubadilisha seting kuweka nyuzi joto linaloitajika katika yai husika
Mimi nilinunua wa miez miwili mpaka mitatu nimewakuza... Ila sasa nafikiria kununua incubator nitotoleshe vifaranga.....

Pia natamani kufuga wa mayai ila sina uzoefu nao mwenye kujua anipe process mpaka wanataga nifuate hatua zipi

Pia naomba kujua incubator inachukua Muda gani mpaka vifaranga kutoka
 
- Usipende kununua kuku wakiwa wakubwa, kuku wakubwa kuzoea mazingira itakuwa ni shida kidogo na pia mara nyingi watu wanaouza kuku weng wao huwa na magonjwa ambapo itakuchukua mda kulitambua ivyo haliyakuwa wamechanganyika na wenzake itakughalimu.

Pia mimi nakushauri usinunue kwanza incubator itakukost,

umesema unamtaji wa 5G hunahisi mtaji wako utatosha kuwanunulia chakula na chanjo kuku wako ????
 
Yes mkuu maana najua taratibu ntaongeza Mtaji na kwakuanza na kuku 100 sio mbaya
 
Mimi nilinunua wa miez miwili mpaka mitatu nimewakuza... Ila sasa nafikiria kununua incubator nitotoleshe vifaranga.....

Pia natamani kufuga wa mayai ila sina uzoefu nao mwenye kujua anipe process mpaka wanataga nifuate hatua zipi

Pia naomba kujua incubator inachukua Muda gani mpaka vifaranga kutoka
Mimi ushauri wangu
Ungeanza kwanza vifaranga chotara vitakupa somo zuri sana namna ya kulea vifarangà!
Ukifanikisha hilo unakua na uhakika hata ukivuta mashine(incubator) mambo yatakua bomba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom