Recent content by Big Tymers

  1. Big Tymers

    Nashindwa kupanga bajeti ya mwezi, nifanye nini ili niweze?

    Tatizo la waajiriwa wanaishi maisha ya juu ili kuwa sawa na wafanyakazi wenzake ofcn nguo, mitoko, n.k
  2. Big Tymers

    Jionee ndege ya kisasa ya Ethiopia ikiwa Nairobi

    Hahahahahaha mkuu mbavu zangu
  3. Big Tymers

    Magufuli ni Rais bora wa pili tangu tupate uhuru

    Bado mapema kumpa namba 2 tusubirie kwanza amalize vipindi vyake madarakani. Anaweza huko mbele akaenda vzr au akavurunda zaidi ya jk tumpe muda
  4. Big Tymers

    CITES Permit: Vibali vya usafirishaji wa nyara za serikali

    Ni kweli CITES - Arusha wanahusika na kutoa kibali, hata ukienda mpingo house watakwambia nenda Arusha. Mimi nimesoma chuo cha wanyamapori - MWEKA kuna jamaa yangu ni muhusika pale CITES arusha ni pm nikupe no yake ila ukifanikiwa usisahau kunipa soda
  5. Big Tymers

    Mh. Msigwa umeonesha ukomavu katika siasa

    My take ya mtoa mada amevurunda
  6. Big Tymers

    Ruge azidi kumchukulia watangazaji Mengi

    Ruge ni mkurugenzi wa vipindi clouds mmiliki wa clouds ni kusaga
  7. Big Tymers

    Baada ya kumkopesha pesa amenizushia nimemtishia maisha na kumbaka

    Ukishahonga umehonga mang'ii mali hairudishwi dukani.
  8. Big Tymers

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Anayeruhusiwa kupiga shuti kali ni mwenye mpira tuu
  9. Big Tymers

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Kwenye kuchagua timu mnanyoosha mstari mnafanya panga pangua.
  10. Big Tymers

    Yameanza kutimia: Bandari kavu zalia kukosa mizigo

    Mkuu nimekuelewa sana. Sasa ukisema serikali inakomoa wafanyabiashara sasa itapata wapi mapato? Kwasbb bila wafanyabiashara bandari hakuna mapato, labda uniambie serikali inakomoa wafanyabiashara ambao walikuwa sio waaminifu, wakwepa kodi. Lkn kwan ushuru wa forodha umepanda kwa kiwango cha %...
  11. Big Tymers

    Yameanza kutimia: Bandari kavu zalia kukosa mizigo

    Sasa ndugu mimi sijui wewe umeelewa comment yangu ktk scenario gani, kinachotokea sasa hivi sio kwamba uchumi unaaribika bali tulikuwa na wafanyabiashara hewa waliokuwa wanaagiza mizigo hawalipi ushuru na kukosa mapato, kinachotokea now ni kusafisha huo mfumo wa kifisadi watabaki wafanyabiashara...
Back
Top Bottom