Salam Wadau,
Nadhani mada hii itaeleweka sana na Wadau wa Sekta ya Utalii, hususani wanaohusika na Hunting Tourism in one way or another. Ninachohitaji kufahamu ni mahitaji/Requirements ili mtu aweze kupewa CITES Export Permit.
What’s CITES Permit? A CITES permit is a document that is required to export certain wild animals or products made from those animals from one one country to another.
With the information I have, kwa Tanzania hiyo kazi inasimamiwa na Officer-in-Charge; Tourism Hunting, CITES and Photographic Tourism Office, Wildlife Division-Naura House; Jijini Arusha pamoja na Dar es salaam (Mpingo House). Kwa bahati mbaya, kwa sasa sipo Dar es salaam wala Arusha.
Ukiingia kwenye website yao, ofisi ya Arusha wameweka namba ya simu lakini nadhani imekosewa; ni hii hapa: Tel: +255 (57) 87 50
Sasa basi, OMBI langu ni kwamba, ikiwa humu jamvini kuna Wahusika, basi naomba msaada wa kufahamu what it takes kupata CITES Permit.
Kinyume chake, ikiwa humu jamvini kuna mtu ana access na hapo Naura House (Arusha) na Mpingo House Dar es salaam, tafadhali naomba msaada wa Contacts za hao Officers in Charge. Yaani In Charges wanaohusika na utoaji wa hati za ku-export nyara za serikali zinazoruhusiwa kisheria au mtu anayeweza kunisaidia katika hilo.
Nitashukuru sana endapo itakuwa mobile numbers kwa kuwa sina access na landlines.
Thanks in advance.