Gwajima yuko sahihi....
Wala kiongozi wetu hakutakiwa kutaja neno Gwajima kwenye hotuba yake hasa katika kipindi hiki.
Kufanya hivyo ni kuruhusu watu waendelee kufuatilia zaidi mambo haya.
Mama ameteleza kidogo.
Baadhi ya nukuu ulizotumia niza agano la kale na agano jipya.
Yaani kabla na baada ya YESU,
Sasa kwa kuwa jina Muhammad (Rehema na Amani iwe juu kwake) halijatajwa moja kwa moja , kwanini tuna amina kuwa utabiri huu una mhusu nabii Muhammad (Rehema na Amani ili juu yake) ?
Wakati mwingine ukifikiria sana unashindwa hata cha kusema, kwa sababu mheshimiwa Rais wetu aliyepo hata hakuwa na maandalizi ya kuongoza taifa hili. Hii ilitokea tu kwa kudra za mwenyezi mungu.
Chamsingi sasa ni kufanya maandalizi ya kukabidhi nchi kwa mtu atakaye kuwa strong kiasi cha...
Ninaunga mkono hoja
Umenena kama yalivyo Mawazo yangu.
Huyu jamaa hakika ni mwanaharakati na hafai kabisa kuwa kiongozi yeyote
Iwe wa chama au kiongozi serikalini
Hakika niliumia sana,
Mwamba kaacha mambo mengi ya kujifunza
Hasa katika falsafa ya kulinda lasirimali za umma na kudhibiti wazembe kazini
Vita aliipigana vizuri
RIP mwamba
Eti chawa mmoja alisikika
Duuuhhh.....!!!!!
Kiukweli hali ya elimu nchini haina afya kabisa hata kidogo.
Kibaya zaidi tuko vizuri kwenye kutetea kuliko uhalisia wenyewe.
Sijawahi ona maamuzi makubwa kiasi hiki, yakitekelezwa haraka kiasi hiki. Chadema wamelikoroga lazima watalinywa. Kama walikuwa na agenda ya siri, sasa mambo yote hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli wamejitahidi sana. Jana nimewaangalia kwa makini sana, kuna maboresho makubwa sana yamefanyika. Big up kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio muda sahihi wa kuanza kushangilia sasahivi. Japo mheshimiwa Rais ameonyesha ukomavu wa hali ya juu kujitokeza hadharani na kuwa tofauti na mataifa mengine namna wanavyo deal na swala hili la Corona.
Lakini ukweli ni kwamba bado tupo kwenye Mapambano Ya hali ya juu. Tena ndio kwanza vita...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji106][emoji106] Shukurani Sana kwa kutoa Elimu inayo eleweka vizuri [emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.