Kipindi cha TBC aridhio wamejitahidi sana

prof Mose

Member
May 10, 2019
27
45
Leo mida ya jioni nimeondoka na jamaa angu kwenda kupata huduma sehemu umbali wa Kama km10 hivi na usafiri wetu ukiwa ni pikipiki. Kwa bahati mbaya baada ya kufika tu mwisho wa Safari yetu, mvua kubwa ikaanza kunyesha na kupelekea mafuriko makubwa. Ikabidi mwenyeji wetu atupe hifadhi maana njia haipitiki tena.

Akatupeleka kwa mzee wake tukamkuta mzee ameketi yupo makini kweli kweli akifuatilia tbc aridhio nasi tukaungana nae kutazama.kwa mtizamo wangu naona wamekuja vizuri na wameonesha creativity na utofauti Kama shirika la uma ila mzee baba Gabriel Zacharia alikuwa anazidisha mbwembwe mpaka anaharibu but so far wamekuja vizuri.

Ubora wa picha, uchambuzi na mtiririko wa maudhui some how wamejitahidi.Karibu kwa mwingine aliyekishuhudia kipindi hiki utupe mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

prof Mose

Member
May 10, 2019
27
45
Mleta mada kwanza kagundua kuangalia TBC ni kosa na kwalo hakuna wa kukusamehe, hvyo katafuta kwanza sababu iliyomfanya aangalie TBC ndo awasilishe mada yake.

Sent using Linux 10.29
Kwakweli nimeamini watu mmeichoka kweli TBC Mimi mwenyewe ni mmojawapo wa waliyoichoka lakini waswahili wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Sasa Mimi na wafanyakazi wa TBC wapi na wapi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,848
2,000
Yaaap, nami Jana nilikuwa mubashara at home nacheck mapigo ya Ardhio, mpaka ile anaingia waziri mwenye dhamana.
Obvious wamejitahidi sana ila hebu nimpe jongera yake Gabriel Zachariah, Jamaa ni fundi kwa uchambuzi na maswali pia..
Tutegemee mazuri zaidi pindi tu maboresho zaidi yatakavyokamilika hapo majira ya kiangazi..
Nasikia TBC utakuwa kama BBC
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,589
2,000
Yaaap, nami Jana nilikuwa mubashara at home nacheck mapigo ya Ardhio, mpaka ile anaingia waziri mwenye dhamana.
Obvious wamejitahidi sana ila hebu nimpe jongera yake Gabriel Zachariah, Jamaa ni fundi kwa uchambuzi na maswali pia..
Tutegemee mazuri zaidi pindi tu maboresho zaidi yatakavyokamilika hapo majira ya kiangazi..
Nasikia TBC utakuwa kama BBC
Huyo jamaa ni ana PH.d ya kujua kujipendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,381
2,000
Kipindi kizuri ni cha yule dada anaetangaza habari mzuri mweupe sijui anaitwa nani ni kazuri na kipindi pia cha habari akiwepo yeye huwa kinakuwa kizuri😎
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom