Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,077
- 126,879
Mimi na mijizi ya CCM wapi na wapi?juzi pia Kuna dhalimu jingine lilikufa.umeenda kuzika!!?
Mimi na mijizi ya CCM wapi na wapi?juzi pia Kuna dhalimu jingine lilikufa.umeenda kuzika!!?
Kwamba tutakufa kwa kuwa tunambagaza dhalimu ama?Kaeni mkao wa kufa kufa kudadadeki zenu
Kamuulize Mzee MAKAMBAKwamba tutakufa kwa kuwa tunambagaza dhalimu ama?
Nafikiri ndicho walichokitaka mana waligeuza nchi kiwanda cha kanga kila mtu anabwabwaja anavojiskia.Hii sasa ni shida unajua nchi zilizopata shida mambo yalianzia hivihivi ngoja tuone.
Mbona enzi za Magufuli watu hawakugawanyika hivi?mgawanyiko ukiletwa na maneno yao.wewe waambie wenzako wameshapata laana na wataangamia Kwa Sababu kutokana na maneno yao wanahusika Katika kutoa uhai wa magufuli.huwezi kumtoa uhai kiongozi anayetoka Kwa Mungu na ukabaki salama wataangamia.Kilichofanyika juzi sio kuonyesha umoja ulivyoondoka maana tayari dhalimu alishauondoa, bali kilichofanyika juzi ni nyie sukuma gang kujaribu kujifariji kutokana na mashambulizi anayopewa dhalimu kutokana na aina ya siasa zake za kuhayawani alizoendesha hapa nchini.
Kwa bahati mbaya mnadhani kuna mtu atatishika na reaction yenu. Hakuna mtu atatishika na kilio chenu, na tutaendelea kumsagia kunguni dhalimu ili isitokee kiongozi mwingine muovu wa aina yake kuwa rais wa nchi hii.
Nimecheka Kwa sautiTwende kazi kiroboto tutaona nani ataumia zaidi
Ww ndio muumini wa CCM chama la majizi ya kura, ndio ukamuulize kwenye vikao vyenu vya wizi.Kamuulize Mzee MAKAMBA
Uzuri hata marehemu baba yako hakupendwa na watu wote, wapo waliomchukia, vilevile hata mume wako hapendwi na watu wote wapo watakaodurahia kifo chake.Umoja dhalimu alishauondoa, saa hii tuko kwenye mavuno ya siasa zake za kishamba.
Kipindi kile hakukuwa na matamko yaliyojaa makufuru kama sasa hivi ndo maana watanzania wanakasirikaMngeanza kukemea kipindi kile mngekua mna maana, tatizo mmestuka kumekucha. Acha inyeshe tu tena ya Acid.
Kama taifa halikugawanyika mbona kipindi cha mazishi ya dhalimu watu waliokuwa wanasherehekea kifo chake walikuwa wanakamatwa. Hii kujiliza kuwa watu wanampondea dhalimu huku mitandaoni wakati ameshakufa ni kilio cha nini? Dhalimu ndio aliharibu mshikamano ndani ya taifa hili, au unadhani mtatupoteza maboya nini? Sasa subiri baada ya mazishi ya Membe uone kama kuna mtu atakuwa anamuongelea zaidi ya dhalimu wa chattle.Mbona enzi za Magufuli watu hawakugawanyika hivi?mgawanyiko ukiletwa na maneno yao.wewe waambie wenzako wameshapata laana na wataangamia Kwa Sababu kutokana na maneno yao wanahusika Katika kutoa uhai wa magufuli.huwezi kumtoa uhai kiongozi anayetoka Kwa Mungu na ukabaki salama wataangamia.
Saa100 alikuwa na nafasi ya kukemea hiyo kauli kama kiongozi mkuu wa nchi .kukaa kwake kimya maana yake aibariki haya matamko na yeye mwenyewe amekuwa akitoa kauli zinazoaahiria kuunga mkono hizo hoja mfano simba wa yuda, hataki kodi za dhulma ,Natumaini kila mmoja kuanzia serikali, viongozi wa dini na watanzania wote mmeona Kwa kiasi gani watanzania wamegawanyika Kwa Sababu ya maneno na matendo ya wanasiasa.Imefika wakati mwanasiasa mmoja akifariki watu wengine wanafurahi na kufanya mpaka sherehe.Juzi mwanasiasa mmoja alifariki natumaini kila mmoja aliona comments za watu.Watanzania wengi walifurahia kifo cha mtu huyo.Mimi nashauri serikali isiruhusu matamko tata ya hao wanasiasa Kwa Sababu Taifa liligawanyika baada ya kauli za kufuru zilizotolewa na baadhi ya wanasiasa baada ya kifo cha Rais Magufuli,pia hao wanasiasa waombe msamaha Kwa maneno Yao Ili kuleta umoja na pia viongozi wa dini waiombee nchi Sana. Hali hii ikiacha iendelee itasababisha nguzo mojawapo ya nchi yetu yaani 'umoja' kuhatarishwa.Nashauri pia viongozi wabadhilifu watokomezwe Katika nchi yetu Kwa Sababu hao ndo wanakuja na matamko tata baada ya kubanwa. Pia wanasiasa nawaasa wawe makini na kauli zao maana zinahatarisha umoja wa watanzania pia wajue kuwa malipo ni hapahapa dunia yaani kauli zao zinawarudia wakiwa hapahapa duniani yaani ukitoa kauli za laana na wewe utapata laana.
Uzuri hata marehemu baba yako hakupendwa na watu wote, wapo waliomchukia, vilevile hata mume wako hapendwi na watu wote wapo watakaodurahia kifo chake.
Hata wewe hupendwi na watu wote wapo watàkao furahia kuona maiti yako dada.
Kama Yesu na Mtume Muhamad hawakupendwa na watu wote JPM yeye ni nani mpaka apendwe na watu wote?
Unayohaki ya kumtukana na kumdhihaki upendavyo lakin tunaompenda JPM tutaendelea kumpenda daima na daima.
Wacha uwongo Tindo Lisssu. Hakuna kikundi au genge lelote Tanzania linaloitwa 'Sukuma Gang' kuna Kabila la Wasukuma.Kila sukuma gang anatamani hii iwe ndio kitisho au kinga kwa dhalimu. Kwa taarifa yako dhalimu ndio alileta huu upuuzi, na hatupoi. Hatuna muda wa kutaka muungano na watu mliofurahia dhalimu kuumiza wasiokubaliana na utashi wake.
Wale waliokuwa wanasherekea wakati ule ilikuwa ni watu wachache mafisadi yaliyobanwa enzi za Magufuli yanafurahia Kwamba Wanaenda kupata ahueni,pia wale vyeti feki na wapenda magendo lakini hata wewe unajua watanzania wengi walilia na kuumia lakini sasa hivi watanzania wengi wanafurahi wakiona watu wa kikundi kile wamepata matatizo.yaani sio Facebook, Instagram na mitandao yote watu walifurahia hiyo juzi.Kama taifa halikugawanyika mbona kipindi cha mazishi ya dhalimu watu waliokuwa wanasherehekea kifo chake walikuwa wanakamatwa. Hii kujiliza kuwa watu wanampondea dhalimu huku mitandaoni wakati ameshakufa ni kilio cha nini? Dhalimu ndio aliharibu mshikamano ndani ya taifa hili, au unadhani mtatupoteza maboya nini? Sasa subiri baada ya mazishi ya Membe uone kama kuna mtu atakuwa anamuongelea zaidi ya dhalimu wa chattle.
Aanze kukemea sasa Kwa Sababu hizi kauli zinahatarisha umoja wa watanzania yaani tunafurahi mtu Fulani akifa aise sio utanzania huu.Saa100 alikuwa na nafasi ya kukemea hiyo kauli kama kiongozi mkuu wa nchi .kukaa kwake kimya maana yake aibariki haya matamko na yeye mwenyewe amekuwa akitoa kauli zinazoaahiria kuunga mkono hizo hoja mfano simba wa yuda, hataki kodi za dhulma ,
Hataki nidhamu za uoga
Rudisha akili zako ufikiri kwa kichwa, kwahiyo huyo unaemuita dhalimu ndio alikuwa anawakamata.Kama taifa halikugawanyika mbona kipindi cha mazishi ya dhalimu watu waliokuwa wanasherehekea kifo chake walikuwa wanakamatwa. Hii kujiliza kuwa watu wanampondea dhalimu huku mitandaoni wakati ameshakufa ni kilio cha nini? Dhalimu ndio aliharibu mshikamano ndani ya taifa hili, au unadhani mtatupoteza maboya nini? Sasa subiri baada ya mazishi ya Membe uone kama kuna mtu atakuwa anamuongelea zaidi ya dhalimu wa chattle.
Kama serikali saa100 hawaelewani raisi akisema hata amna anayemsikiliza unategemea niniUmeona juzi watanzania wengi walifurahia Membe alipofariki? Kabla ya kufariki umeshawahi kuona Hilo?umoja umeondolewa baada ya maneno ya watu wenu kufurahia kifo cha kipenzi cha watanzania.wakati wa Magufuli watanzania walikuwa wapo proud na nchi Yao sifa za Tanzania na Magufuli zilivuka mpaka nchi za kigeni.