Recent content by big dreamer

  1. big dreamer

    Vitu gani vilikufanya ubadilishe mtazamo wako juu ya kitu ama jambo fulani..?

    Niliamini mke wangu ananipenda kupita maelezo ilifuka kipindi hadi akaunt ya benki tulikuwa tunatumia moja,,yani nilikuwa na deposit kwake then mtu akiwa na shida anaenda ATM. Picha likaanza sasa mwaka juzi kuna kipindi nilikosa kazi yoyote yeye ndio kidogo akawa ana income aise nilishuudia...
  2. big dreamer

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Ukisha oa mwanamke mwenye akili kwaajili ya watoto wako nawe oa mwanamke mwenye big nyash Nb:nawe unastahili furaha na amani moyoni
  3. big dreamer

    Kwa wanandoa: Unamalizaje haja zako Ukiwa mbali na mwenza wako?

    Muhulize Roma mkatoliki atakupa mbinu
  4. big dreamer

    Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

    kuezeka kwa zege vs kuezeka kwa bati ipi itakuwa na unafuu wa gharama Kwa maana nikiezekea zege,,nitakuwa nime save gharama za bati,mbao za kench, bundling, gypsum boards,mikanda na misumari lakini najua na zege linahitaji nondo,kokoto, cement,n.k,,,napenda zege kwasababu haina kelele wakati wa...
  5. big dreamer

    Kuna yule Rafiki akishamuona rafiki yake wewe anakukataa kwa muda , Rafiki kama huyu unaishinae vipi?

    Tafuta pesa mkuu malalamiko kama hayo hayatakuwepo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. big dreamer

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. big dreamer

    Hongereni sana shule ya Kemebos Secondary School Kagera

    Labda kwasababu ya idadi ya wanafunzi coz st. Fransis ilikuwa na wanafunzi 90 lakini kemebos wanafunzi 70 St Francis inapoint 10,11 lakini kemebos wameishia point 9 tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. big dreamer

    Hongereni sana shule ya Kemebos Secondary School Kagera

    Mimi kama mdau wa elimu, nimependezwa na kufurahishwa na haya matokeo ya juu kabisa na ya ajabu iliyopata shule hii. Walikuwa na wanafunzi 70 Wanafunzi wote 70 wamepata div. One Kupata one pekee sio ajabu sana kwenye nchi maana hata st. Fransis girls Mbeya wanapata n.k n.k, Bethel Mafinga...
  9. big dreamer

    Kwa matokeo haya huyu dogo atachaguliwa special school

    Physics ya mwaka huu inaonekana ilikuwa noma,,,maana hadi shule ya st.fransis girls wamepata wastani wa B wakati sio kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
  10. big dreamer

    Tupeane mbinu za kukabiliana na wanawake wanaonyima tendo wanaume zao

    Hii ni wakorintho ngapi mkuu,,,,(nimeisahau kidogo) Sent using Jamii Forums mobile app
  11. big dreamer

    Diamond platnumz asifia 'kata mtu panda mti' ya Haji Manara. Adai Zaylisa ni kitu cha juu zaidi kuliko wa mwanzo

    Mwambieni Diamond shemeji hasifiwi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. big dreamer

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Itakuwa ulimdanganya wewe ni kibossile ili umpate madhara yake yeye anachop money tu,,wew unaugulia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. big dreamer

    Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Nadhani ingetokea kampun iliyosajiliwa na serikali na kupewa vibali vyote uwenda wangefanya kwa uaminifu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom