Tupeane mbinu za kukabiliana na wanawake wanaonyima tendo wanaume zao

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,330
4,853
Imeandikwa "Ni bora Mwanaume asimguse Mwanamke, lakini kwasababu ya ngono kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe, mke hana mamlaka juu ya mwili wake na mume hana mamlaka juu ya mwili wake, MSIWE MKINYIMANA, bali pangianeni siku za kupeana"

Kwa hiyo kumbe ni Sheria na ni haki ya kila mmoja wenu kuufurahia mwili wa mwenzake, wakuu Wanaume mlio kwenye ndoa mnakabiliana vipi ikiwa mkeo anakupangia au hakupi unyumba na ukiangalia hakuna sababu za msingi?
 
imeandikwa:ni bora mwanaume asimguse mwanamke, lakini kwasababu ya ngono kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe, mke hana mamlaka juu ya mwiliwake na mume hana mamlaka juu ya mwiliwake, MSIWE MKINYIMANA, bali pangianeni siku za kupeana" KWAHIYO KUMBE NI SHERIA NA NI HAKI YA KILA MMOJA WENU KUUFURAHIA MWILI WA MWENZAKE,,, WAKUU WANAUME MLIO KWENYE NDOA MNAKABILIANA VIPI IKIWA MKEO ANAKUPANGIA AU HAKUPI UNYUMBA, NA UKIANGALIA HAKUNA SABABU ZA MSINGI
Unafikiri Mungu aliruhusu mitara,plus makahaba Kwa bahati mbaya!!?

Hawa viumbe wapo submissive Kwa me pale mstakabali was maisha Yao unapokua shakani,lakini mambo yakinyooka TU na kutaka kujitawala kunaanza kuota mioyoni mwao!!
 
Imeandikwa "Ni bora Mwanaume asimguse Mwanamke, lakini kwasababu ya ngono kila mwanaume awe na mke wake mwenyewe, mke hana mamlaka juu ya mwili wake na mume hana mamlaka juu ya mwili wake, MSIWE MKINYIMANA, bali pangianeni siku za kupeana"

Kwa hiyo kumbe ni Sheria na ni haki ya kila mmoja wenu kuufurahia mwili wa mwenzake, wakuu Wanaume mlio kwenye ndoa mnakabiliana vipi ikiwa mkeo anakupangia au hakupi unyumba na ukiangalia hakuna sababu za msingi?
Hii ni wakorintho ngapi mkuu,,,,(nimeisahau kidogo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mjadala hivi ujue kuna mtu anaugulia maumivu huko, but pole sana kijana wangu, mtongoze upya huyo mkwe wangu!.
hapana mkuu mi nina mbinu zangu hakunaga demu ataeweza kuninyima na akasimama kutunishiana na mm mi hawa nawachukulia kama watawaliwa na chombo cha starehe, sijawah kumuhusudu mwanamke, awe rais, waziri,femista, hapa kwangu nina mamlaka yangu mwanamke hawez nipangia vile yeye anavyojisikia,, muwahusudu nyinyi wenzangu
 
Nilikua nawashangaa wanaowagonga mabeki tatu zao, na ndugu wa mke...ila nilikuja kuelewa chanzo nini hasa nilipoingia kwenye ndoa.
ndivyo ilivyo kwenye ndoa zetu mi wangu mwanzon mwanzon baada ya kunizoea ikawa vizingizio kibao mara period, yaan mtu period wiki 3, mara naumwa tumbo wiki moja so unajikuta kwa mwez umekula sana mara mbili nikasema usiniletee utoto hapa hachepuki mtu na mzigo utatoa,, nikampiga tukio mpaka leo akilini mwake akiniona tu lazima ajiandae kwa
 
Akikunyima mpotezee yaani muache kwa muda we ukienda zako job Rudi lala ila mtafutie mbadala wake tu yeye muache kwanza akitunze mweshowe kiliwe na nyenyere kwanza mwanamke mwenye heshima na adabu hawezi kumnyima mume wake wa ndoa kama wapo basi hao wanawake walifata favor tu ndani ya hiyo ndoa ili wapate Mali basi mkitengana Kila mmoja achukue chake asepe
 
Pole sana, mwenzio Jan to March kuna mwaka kimya kimya, na Mimi sikutaka ugomvi nae, alikua na ndugu kibao wa kike kwetu.
 
FB_IMG_1705579932251.jpg
 
Akikunyima mpotezee yaani muache kwa muda we ukienda zako job Rudi lala ila mtafutie mbadala wake tu yeye muache kwanza akitunze mweshowe kiliwe na nyenyere kwanza mwanamke mwenye heshima na adabu hawezi kumnyima mume wake wa ndoa kama wapo basi hao wanawake walifata favor tu ndani ya hiyo ndoa ili wapate Mali basi mkitengana Kila mmoja achukue chake asepe
bonge moja la mbinu
 
Lazima ujue kwanza kwa nini anakunyima unyumba ndio utajua jinsi ya kushughulikia hilo tatizo

Wanawake ni viumbe ambao ili afurahie au akupe ngono mtu wake hisia zao zinahusika sana. La sivyo anaweza kukupa tu lakini yeye asiinjoi ukawa kama unambaka.

Wanaume sisi muda wowote mkuyenge unadinda unataka K ila wenzetu ni tofauti.

Tujitahidi sana kuwajua wake zetu hawa viumbe ni dhaifu sana huenda kuna jambo haliko sawa kwa akili yao anaona akunyime unyumba kama silaha.

Tusiwahukumu pasipo kujua shida ni nini kwanza

Ila kama anaridhishwa na kidume mwingine nje huyo piga chini
 
Hakuna cha mbinu wala ushuzi wa mbinu. Kama ni mwanamke wako au hata mke wako anashindwa kukupa hitaji muhimu la tendo mtafutie mbadala, then kama ni wa kujiongeza ajiongeze, kama habadiliki piga chini
 
Lazima ujue kwanza kwa nini anakunyima unyumba ndio utajua jinsi ya kushughulikia hilo tatizo

Wanawake ni viumbe ambao ili afurahie au akupe ngono mtu wake hisia zao zinahusika sana. La sivyo anaweza kukupa tu lakini yeye asiinjoi ukawa kama unambaka.

Wanaume sisi muda wowote mkuyenge unadinda unataka K ila wenzetu ni tofauti.

Tujitahidi sana kuwajua wake zetu hawa viumbe ni dhaifu sana huenda kuna jambo haliko sawa kwa akili yao anaona akunyime unyumba kama silaha.

Tusiwahukumu pasipo kujua shida ni nini kwanza

Ila kama anaridhishwa na kidume mwingine nje huyo piga chini
Asilimia zaidi ya 90 sio hisia,ni kisirani TU na kiburi Wala sio hisia!!

Asikudanganye mtu,ke hawezi kosa hisia na mwenzi wake naturally zaidi ya kisrani na kukomoana kisa maswala ya kimaisha TU ya kila siku!!
 
Back
Top Bottom