Kwa matokeo haya huyu dogo atachaguliwa special school

choza choza

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
1,651
2,989
Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni

Physics C
Chemistry A
Biology A

ana div 1.11

Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
 
Hapana,

Siku hizi special schools (Mzumbe, Ilboru, Tabora Boys na Kibaha) wanachukua AAA pekee kwenye combination husika.

Anaweza kupata kwenye shule nyingine kongwe na maarufu kama Pugu, Shule za Tech, Minaki, n.k.
Alikua vizuri sana physcs, ila sijui imekuaje kapata C
 
Ku
Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni

Physics C
Chemistry A
Biology A

ana div 1.11

Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Kuna division one za saba nyingi sana mwaka huu hawezi kwenda special school
 
Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni

Physics C
Chemistry A
Biology A

ana div 1.11

Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Physics ya mwaka huu inaonekana ilikuwa noma,,,maana hadi shule ya st.fransis girls wamepata wastani wa B wakati sio kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dogo ambaye ndoto zake ni kusoma special school kati ya ilboru, Mzumbe, Tabora boys kwa mchepuo wa PCB, alikua vizuri sana Physics ila imemuangusha maana mitihani ya shule alikua anapiga A ila Necta matokeo yake ni

Physics C
Chemistry A
Biology A

ana div 1.11

Je anaweza kuchaguliwa hizo shule tajwa hapo juu au tusubiri za kawaida tuu
Abadili selform chap mpelekeni chuo akasome engineering Pale ATC! SPEcial kwa PCB ni BAA Au AAA yeye na CAA Tena PCB Bora ingekea PCM! mpelekeni chuo asije haribu ndoto yake, ada Ni kidogo tu tena affordable.
 
Back
Top Bottom