Recent content by BIG Africa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Harry Mwijage anafanya biashara gani?

    Habari zenu. Kuna jamaa anaitwa Harry Mwijage huwa anaonekana sana kwenye mitandao ya kijamii akihamasisha vijana wapambane katika biashara na shughuli nyingine Kwa anayemjua atusaidie huyu jamaa yeye Anafanya biashara gani au na yeye anahamasisha tu watu wapambanie Kombe.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Fasta piga chini
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Umetumia akili ndogo Sana kufikiria
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Hujaacha Tu kuvuta bngi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja. Atafute watu sahihi wa kumsimamia nyuma yake. Ninamuona ana kipaji kikubwa lakini kuna marekebisho...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingembadilisha Balozi Mbelwa Kairuki

    Daah kaka mbona huna hekima
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asingembadilisha Balozi Mbelwa Kairuki

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa Kairuki kutolewa China na kupelekwa Kwa Malikia Uingereza. Kwanini kitendo cha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Ukimuwaza Miquissone unaongeza heshima kwa Samatta

    Jamaa kaandika vizuri
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya ili kupunguza kumuwaza mpenzi?

    Hahaahah
  11. B

    JamiiForums Tanzania Najuta sana, lakini WanaJF mlinikanya na hasa huyu memba Mama K

    Pia Mimi sijamuelewa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Thanks
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Sasa juzi kanitafutia nn
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Hahah
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Hahaha Sawa piaha
Back
Top Bottom