Recent content by Bibi yaga

  1. B

    Kulaziwa matiti mgongoni...

    Hahahahahaaa......
  2. B

    Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    Ulifanikiwa?
  3. B

    CARINA TI FOR SALE-Tzs 8.7m

    Wee ni CHIBOKO...!
  4. B

    Jinsi ya kupika tambi

    Tambi Mahitaji: 1. Kitunguu kikubwa kimoja 2. Nyanya mbili kubwa 3. Karoti kubwa moja. 4. Pilipili Hoho Nusu 5. Tambi gram 250 6. Mafuta ya kupikia 7. Chumvi 8. Nyama ya kusaga 1/4 Kg 9. Tangawizi 10. Limao 11. Kitunguu swaumu Matayarisho 1. Weka sufuria jikoni, weka mafuta na ukaange vitunguu...
  5. B

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Moderator Fang mimi ndio chaguo langu!
  6. B

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Sasa mie nikimtaja super moderator inawezekana? Au ndio nitapewa Bann? Nataka nitoke na super moderator mmoja.
  7. B

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Nyani Ngabu kapewa bann. Nani atatufundisha kidhuunguu???
  8. B

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Ukikua utatajwa tuu tulia hapo hapo..
  9. B

    Natafuta boyfriend mwenzenu

    Miaka 22 ameshaanza kupagawa mpaka anatafuta wachuchu mitandaoni.. Angalia binti weee bado mdogo utapata hao hao unaowaona huko makazini. Ukifika miaka 27 hujapata ndio uje hapa Jf.
  10. B

    Nyumba inauzwa bei poa!!!!

    Weka picha ya hiyo nyumba na bei
  11. B

    Jamani nifanyaje kumpata mpenzi mkweli

    Wewe ni mwaminifu? Isije ukawa wewe ndio mwenye matatizo......Weka vigezo unavyohitaji nione kama naweza kufit..!
  12. B

    je,hii ni sahihi?

    Kama hajui cha kufanya, anipe mimi hiyo ya mumewe nimtunzie kama ukumbusho!
  13. B

    Usipitwe na hii Thread I swear you gonna like it!!!!

    Dah... Stori yako imenifanya nisisimke..Nimeipenda sana.
  14. B

    Oooooh!!

    I see...
Back
Top Bottom