natafuta-mwanamke-wa-maisha-miaka-24-28-a.html


Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
1,107
Likes
8
Points
135
Age
35
Eistein

Eistein

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
1,107 8 135
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE Cc.. lara 1:confused3:

Wadau heshima kwenu,

Nimeona ni muda muafaka kuja rasmi kutafuta mwanamke wa maisha yangu hapa duniani. Nafahamu mke mwema hutoka kwa Mungu lakini pia huweza patikana mahali popote, kwani mapenzi ni kama ajali Cc. Mtambuzi, Nicas Mtei

Nipo serious na hii mada, maana nimeona niingie uwanjani rasmi.


KWA KUWA HAPA NATAFUTA MTU WA MAISHA BASI VIGEZO (VIPO TAITI KIDOGO) NA MASHARTI KUZINGATIWA, SI JAMBO LA MASIHARA

SIFA ZA MWANAMKE NINAYEMTAFUTA

AWE MKRISTO
UMRI MIKA 23-28
ELIMU KUANZIA DIPLOMA NA KUENDELEA
AWE NA HEKIMA NA BUSARA ASIWE MWEPESI WA HASIRA
AWE AMBAYE HAJAWAHI KUZAA (HANA MTOTO)
AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI
AWE ANAYEPENDA MAENDELEO, ASIVUTE WALA KUTUMIA KILEVI CHOCHOTE (MUHIMU SANA HILI) Cc snowhite
AWE MWANAMKE MAKINI, ANAYEPENDA KUSHAURI KULIKO KULAUMU ZAIDI Cc Kongosho

ASIWE MNENE, AWE MWEMBAMBA KIASI, UREFU SENTIMETA (120-180)
ASIWE; MCHAGA, MPARE AU ASILI YA SONGEA (SORRY KWA MLIOKWAZIKA-NINAMAANA YANGU KUBWA SANA Cc amu

SIFA ZANGU

UMRI MIAKA 30
NI KRISTO
DEGREE MOJA
MREFU SENTIMETA 150, MWEMBAMBA KIASI, MWEUSI KIASI
SINA MTOTO HATA WAKUSINGIZIWA
NINAKAZI YANGU, PESA YA MBOGA NA MAHITAJI MUHIMU HAINA TATIZO Cc Mrembo by Nature
SITUMII KILEVI CHOCHOTE, WALA SIVUTI KITU CHOCHOTE Cc Smile


poleni kwa awale ambao vigezo havitatosha.. poleni

KWA YOYOTE ALIYETAYARI TUWASILINE ANI PM AU TUMIA EMAIL gmakini47@yahoo.com PM zote na email zote zitajibiwa bila shida

TAFADHALI NIKO SERIOUS WAKUU, KAMA HAUNA CHA KUCHANGIA PITA KIMYA KIMYA:mvutaji:

Cc. wajukuu wa Babu DC, Zion Daughter, Kipipi et al.....
 
D

Doly

Member
Joined
Feb 7, 2013
Messages
16
Likes
0
Points
3
Age
37
D

Doly

Member
Joined Feb 7, 2013
16 0 3
:heh:Mbona unapenda sana kutoa maelezo yaso na msingi sana mapenzi hayachagui kabila, dini elimu, rangi wala kitu kingine ila 2 kiangliwacho ni mapenzi ya dhati. ukichagua sana utaangukia pabaya ndugu
:kev:
 
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Messages
1,870
Likes
719
Points
280
GOOGLE

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2012
1,870 719 280
Pole kwa ktaftia mke wa maisha humu! All the best mkuu.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,611
Likes
6,127
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,611 6,127 280
Na wewe umekua kama wabunge wa ccm kuwabagua watu wa kilimanjaro
 

Forum statistics

Threads 1,273,083
Members 490,268
Posts 30,470,607