Usipitwe na hii Thread I swear you gonna like it!!!!

Zeddicus

JF-Expert Member
May 5, 2012
627
534
SILENT LOVE____________USIIPITE BILA KUISOMA!!!!

Venue
Chuo kikuu cha Dar es salaam

1st year

nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu,lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.
Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani hiyo siku iliyopita.baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.I wanted to tell her,i want her to know that i don't want us to be just friends,i love her but i'm just to shy,and i don't know why

2nd year

Simu yangu iliita,kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart,she asked me to come over because she didn't want to be alone,kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji,as i sat next to her on the sofa,nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu.Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida,hivyo akaamua kwenda kulala,before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu,i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

3rd year

Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe campan katika tamasha la muziki leo usiku" kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "bestfriends".hivyo tukaenda.
katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa,nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake,she saw me looking to her she smiled at me,i want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo,then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.I want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Graduation Day

siku,wiki kisha mwezi ukapita ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo,akiinuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya uchumi nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile,i wanted her to be mine,but she didn't notice me like that,and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao,alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali,na kulia pale nilipomkumbatia akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana" i want to tell her to know that i don't us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Miaka michache baadae

Nikiwa kanisani Yule Msichana akiwa anaolewa sasa,nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life,kaolewa na mwanaume mwingine,i wanted her to be mine,but she didn't see me like that,and i knew it.
but before she drove away,alikuja kwangu na kusema "asante sana" and kissed me on the cheek.I want to tell her to know that i dont us to be just friends,i love her but i'm just too shy,and i dont know why.

Kwenye Mazishi

Miaka ilipita i looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu,Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo'

Diary yake ilikuwa Ilikuwa ikisomeka hivi
I stare at him napenda awe wangu,but he doesn't notice me like that,and i know it,i want to tell him,i want him to know that i dont want us to be just friends,i love him but i'm just to shy,and i dont know why.I wish he would tell me he loved me!

Nilipiga magoti huku nikilia nikijisemea moyoni i wish ningemwambia tu ukweli,nimeshachelewa sipo nae tena katangulia mbele za haki i cried!!

Vunja ukimya

thumbs up if it's touched your heart:(

...:D
 
Thumb up!
Lkn feelings zikiwa mutual sawa, lkn ukijilipua halafu ukachuniwa au ukakubaliwa just kwa kuomewa huruma; unawish bora mngebaki friends tu.

Pia mnaweza kuwa wapenzi na kuoana, then mnagombana pia you wish s/he was just ur best friends. As much as tunahitaji wapenzi lkn marafiki ni muhimu pia.
 
Iko fiti na imekaa mkao kinoma hiyo story, chakujifuza hapo ni kwamba kama mwanaume unapaswa kujiamini ktk kila jambo, mtemee cheche na kwanini akutose? MAPENZI SIASA. mwenye sera nzuri ndiye afanikiwaye.

UDOMO ZEGE UNAWAPONZA WENGI KUKOSA VITU VIZURI KAMA TIMBULO NA DOMO LANGU.
 
Aaaa yani umemkosa uliye mpendai sasa ndugu kama wote mlipendana kama unavyo sema, mbona yeye alikubali kuolewa na asiye mpenda?

Mwanamke akisha penda huwa vigumu kukubali kuolewa na mwingine atafanya kila njia aolewe tu na aliye mpenda, labda wewe ungetangulia kuoa kabla yake hapo angekuwa hana tena uwezo, na FYI wengine hata kama umeoa lazima watataka tu wawe ma second wife sababu wamekupenda.
 
ulipiga magoti ukalia lkn angekuwa wako nadhani kilio kingekuwa zaidi ya hapo. Ila somo zuri kwa wenye kuingia ktk mahusiano pia linakuwa baya iwapo unayempenda/ kukupenda ni bf au gf wa rafiki yako.
 
ulikuwa unasoma saa ngapi wewe cause feelings za namna zinafanya materials kichwani yana evaporate
 
Story nzuri ina fundisha.

Chance nzuri ambayo ulipataa ukashindwa kuitumia ni siku hiyo bf wake alipo muumiza na akakuomba umpe faraja!

Ukimya wako ulipitiliza.
 
Mkuu smtmz n bora ukae kmya kma huna uhakka kuw nayy anakupnda uendelee kutengenez mazngra ya nguv il akuelewe- kulko kumtel haf akucholee we we we... Inaumaje hyo!?
Ctaorudia mpak leo nna kdonda
 
Hii ni story au kweli? ndio leo kusikia kwenye msiba watu wanasoma diary ya marehemu, nashangaa pia ina maana diary yake nzima aliandika maneno hayo tu?
 
Hyo ni story and nt reality bt its attractive yani hua naona uviv wa kusma kisa kirefu bt hi nimeiweza cz imenivutia big up sanaaa!
 
Back
Top Bottom