Kutoka insta/X ya HESLB kule mata wa Jirani:
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI: UANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA SI SIFA YA KUPATA MKOPO
Jumanne, Agosti 13, 2024
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii, likiwemo jukwaa la ‘JamiiForums’ kuwa wanafunzi wa Chuo...
Tuwape pole. Ila nimeona hii kule insta na X HESLB wame-comment:
'Tunashukuru kwa maoni haya kutoka kwa wadau wetu!Kwa ujumla, malipo kwa wanafunzi wanufaika wote katika vyuo vyote yanaendelea na hakuna tatizo la fedha.Kwa SAUT-Mwanza, kuna wanafunzi takribani 10,360 wanaonufaika na mikopo ya...
Duh,
Hii inabidi iwekwe sawa. Safari ya mteja tangu anaomba mkopo akiwa mwanafunzi aliyemaliza sekondari, akiwa chuoni na hata akiwa mhitimu anayerejesha inapaswa kuwa rafiki kadri iwezekanavyo. Akiomba mkopo kwa shida, akawa analipwa kwa shida akiwa chuoni, na urejeshaji ukawa siyo rafiki...
Hii kali. Jamaa yangu alikatwa hivyohivyo akaomba refund online, kaweka attachments, ndani ya siku 40 kawa karudishiwa kwenye akaunti yake aliyoambatisha wakati anaomba refund online.
Ila twende mbele turudi nyumba ... unataka turudi kwenye kuandikiana hundi leo? Dah hii sio kabisa. Dunia...
Noma sana. Ila kwa miaka sita? Siku hizi Naomba refund online ... yako inasomaje ukiingia kwenye akaunti uliyoombea? Tusije kuwaua kumbe tumeingizwa chaka ...
Salaam Wadau,
Nimejiuliza tu. Kuna wanafunzi wengi wananufaika na mikopo inayotolewa na Serikali anbao wapo vyuo vikuu. Hili ni jambo jema sana. Lakini, mfumo wa sasa, ambao wanufaika wanasoma kozi yoyote na chuo chochote, ni sahihi kwa uendelevu (sustainability) wa fedha au maendeleo ya taifa...
MASWALI YAULIZWAYO MARA KWA MARA KUHUSU UREJESHAJI WA MIKOPO ELIMU YA JUU
Swali: Mwajiri anapaswa kufanya nini baada ya kuajiri wahitimu wapya?
Jibu: Kwa mujibu wa Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (SURA 178), mwajiri anapaswa aijulishe Bodi kwa maandishi kuhusu...
Kamanda,
Nadhani wanatoza hivyo kwa kuwa hela bado unakua hujamaliza na inabidi iendelee kulindwa thamani yake. Buku ya leo, sio buku utakayorudisha miaka miwili ijayo. Hapa easy way ni kutafuta mzigo umalizane nao.
Kamanda maoni na ushauri wako uko vema
1. Nakubaliana na wewe kuwa wazazi ambao wana uwezo wasiwaruhusu watoto wao waingie kwenye mikopo hii.
2. Nakubaliana na wewe pia hii kitu inaitwa Value Retention Fee inayotozwa 6% iangaliwe kwa maana ya utaratibu wa kuikata au kuikokotoa.
Hata hivyo,
1...
Wadau,
Tangu HESLB watoe majina ya wadaiwa ambao walikopeshwa na hawajaanza kulipa kumekua na kelele nyingi -- nyingi kutoka wale waliokopa na hawajawahi kulipa hata senti moja. Hatuwezi kuendelea hivi. Kelele nyingine hazina hoja kabisa, kwa mfano:
1. Mbona hatujaambiwa tunadaiwa shilingi...
Wakuu,
Nimeikuta sehemu hii:
UTARATIBU KWA WAAJIRI NA WAAJIRIWA KATIKA UREJESHAJI WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU
Swali: Mwajiri anapaswa kufanya nini baada ya kuajiri wahitimu wapya?
· Kwa mujibu wa sheria Na. 9 ya mwaka 2004 ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (kama...
Wakuu,
Nimeona niwashirikishe hii:
HESLB yatoa siku 90 walikosa mikopo kukata rufaa
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza siku 90 kuanzia leo (Jumatatu, Oktoba 31, 2016) kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kukata rufaa kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.