Recent content by Bi.com

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hili ITV chukueni hatua

    Itv ilijitoa kutangaza kuanzia maandalizi mpk uchaguzi wenyewe walitoa maisha ya mgombea mmojammoja tuliona mpk siku yenyewe ya uchaguzi iliiacha vipindi vyote na ikawa inaripoti kila tukio lililokuwa linatokea huku tukishuhudia televisheni ya taifa ikiweka vikatuni. Kosa hapo ni nini? kuonyesha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Onyo: Msiwaguse wala kuwasema masihi wa Mungu

    Waambie waelewe, hawa watu wa mungu ni wa kuwaogopa sana! mungu yu pamoja nao hakawii kuwageuza majina
  3. B

    JamiiForums Tanzania TB JOSHUA: Michael Jackson, na Rais wa Poland na Mkewe, wasingekufa kama wangenisikiliza

    Acheni kukashifu watu wa mungu jamani mnajitafutia laana itakayowatafuna nyinyi na vizazi vyenu. Acheni ujuaji ktk hili. Ni angalizo tu hilo!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mimi huwa naenda kanisani kusocialize tu na sio kuabudu

    Sasa si ulale tu unajisumbua kuamka asb kwenda kanisani wakati huendi kusali?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tahadhari huyu anaejiita ndupa ni tapeli

    Huyo jamaa ni tapeli, mimi pia amenitapeli
  6. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujitambulisha humu jukwaani

    Karibu sana jamvini! Jisikie uko nyumbani!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nipo kijijini, nipe dili la kukutafutia dada wa kazi

    Ni kweli huyu tapeli yuko hapa hapa mjini anaendelea kutapeli watu tu anadhani njaa yake ndiyo utaisha kwa kutapeli nauli! Dume zima linaacha kufanya angalau vibarua linakaa kutapeli watu. Nitahakikisha nampata na kumfikisha kwenye vyombo vya dola!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nipo kijijini, nipe dili la kukutafutia dada wa kazi

    Ni kweli jamani tafadhalini achaneni naye yaani huyu kaka ni tapeli mi binafsi nilikuwa na shida ya msichana nikampigia kwa namba hiyo hapo akaniambia msichana yupo nimtumie nauli pamoja na pesa yake ya udalali 40,000/- nikabagain akakataa katakata nikatuma akanipa na namba ya gari alilompakia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Sabasaba (77) mwaka 2015

    Sababu ya kwanza ya watu kutojaa ni wamepandisha kiingilio, pili wameongeza gharama za parking mwaka jana tulipaki kwa 4,000 lakini mwaka huu tumepark kwa 10,000/- pia kule kwenye michezo ya watoto wamepandisha eti ni 5,000/- mwaka huu. Yaani wamenoboaaah!
  10. B

    JamiiForums Tanzania TB Joshua & Kanisa wana kesi ya kujibu, Maafa ya watu 100

    Chungeni ulimi wenu jamani hampaswi kuwashutumu na kuwakashifu watu wa Mungu
  11. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mtapoteza wateja kwa ubabaishaji

    Equity bank ndiyo habari ya mjini kufungua account ni fasta tena muda huo huo unapatiwa na atm card yako!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Asante JWTZ Mgulani Sabasaba: Mmeokoa maisha ya familia yangu!

    Elfu kumi ya kumpa dereva tena sabasaba? maisha yenyewe yako juu hivi?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

    T.B. Joshua ni mhubiri na muombaji pekee mwenye nguvu za Mungu kweli ktk Afrika na hapa Tanzania yuko mmoja tu wengine wote ni bla bla nyingi na upigaji wa pesa tu. Huo ndiyo ukweli!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Najihisi kudharaulika na wanajamii

    Mjini hapa watu hawataki uzee ukiwaamkia wanaona unawazeesha wewe waambie "mambo zenu"? uone watakavyokujibu vizuri
  15. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    Mbuzi hula urefu wa kamba yake jamani! Yeye yuko hosp na ndiyo mazingira anayoshinda sana hivyo ni possible kutongoza wagonjwa kwani ndio anaoonana nao sana! Na nyie wenzetu msiwe warahisi kukubali mnapotongozwa kwani mkikataa mtashtakiwa? Acheni uasherati!
Back
Top Bottom