Sababu ya kwanza ya watu kutojaa ni wamepandisha kiingilio, pili wameongeza gharama za parking mwaka jana tulipaki kwa 4,000 lakini mwaka huu tumepark kwa 10,000/- pia kule kwenye michezo ya watoto wamepandisha eti ni 5,000/- mwaka huu. Yaani wamenoboaaah!
Miaka ya nyuma yalikuwa ni maonyesho ya halisi ya kuonyesha uzalishaji, ugunduzi na ubunifu, lakini miaka hii, Sabsaba imekuwa ni Flea Market, kwa kweli limekuwa ni soko la kuuzia finished products na 90% ya hizo bidhaa ni za kutoka nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.