Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Mwenye Anointing Water kutoka kwa TB Joshua

Yaani watu bado wanaliwa na huyu msanii TB Joshua bila kujijuwa kweli? Karne ya 21 hii manabii fake wamejazana sana duniani.
 
wewe kama haya huyaamini pita kimya tu amini unachoamini. maswala ya imani mwachie mtu binafsi. kila mmoja ana siri ya anachoamini namna alivyosaidika.

Imani kuu ni kwa Muumba tu ndugu
 
Ni Ujinga Kujiona Wee Ambaye Uamini hayo Maji Kuwaona Wengne Hawafai..

Tulia na Imani Yako .. Hakuna Mtu anayeamini Mungu Pekee Bila Kuaamini Vitu Vingine Vya Baraka kama Hayo Maji

Futa hio kauli yako ya kujumlisha kila mtu!
Mimi NAAMINI MUNGU MMOJA TU bila Kuamini Chachandu zingine zozote.

Nyie Mtaibiwa mpk dunia imalizike.
 
Ni Ujinga Kujiona Wee Ambaye Uamini hayo Maji Kuwaona Wengne Hawafai..

Tulia na Imani Yako .. Hakuna Mtu anayeamini Mungu Pekee Bila Kuaamini Vitu Vingine Vya Baraka kama Hayo Maji

Mungu peke yake ndio anamjua vizuri kuwa anafaa...mi ni nani?!...ninachosema ni kwamba anatakiwa kusali na kuamini kwamba sala zake zimepokelewa na kusubiria jibu..sasa maji asipokuwa nayo ni kama amefanya kazi bure katika kuomba kwake cause unaona anavyosumbuka kuyatafuta asipokuwa nayo ili tu kuweka jambo sawa, kwa sababu imani yake iko kwenye maji, imani ya mtu inatakiwa kuwa kwa Mungu, hivi vitu ni extra tu..extra is not worth it
 
Majaribu 2013
Tuwasiliane Mimi nitakuombea bure.Achana na hizo spiritual items!

Muwasiliane umfanye nini?
Teh teh teh.
We balaa wewe!
Kwani huwezi kumuombea mpk muwasiliane?
Au we ndio wale kina Mwingira.

Maombi na dawa!

Teh teh teh teh.
Dah....!
 
T.B. Joshua ni mhubiri na muombaji pekee mwenye nguvu za Mungu kweli ktk Afrika na hapa Tanzania yuko mmoja tu wengine wote ni bla bla nyingi na upigaji wa pesa tu. Huo ndiyo ukweli!!
 
haya mambo!
Mkristo ukimwambia birika la Siloam halikuwa sehemu sahihi kwa mategemeo yao, atabisha pia.
 
hakuna mtu anayeamini mungu pekee bila kuaamini vitu vingine vya baraka kama hayo maji

kwenye hili uko peke yako mkuu. Mimi ninamuamini mungu tu..pekee..peke yake...bila nyongeza ingine..na mpaka sasa sijapungukiwa na lolote!
 
kwenye hili uko peke yako mkuu. Mimi ninamuamini mungu tu..pekee..peke yake...bila nyongeza ingine..na mpaka sasa sijapungukiwa na lolote!
Umshukuru Mungu kwa hilo kuna watu wamefungwa na maroho mabaya ambayo hayawaachii wakamtegemea Mungu ndio maana utakuta wengine wanabeba bunduki,walinzi wawalinde,wengine wanajua pesa ni kila kitu,wengine mjomba ni kila kitu etc so wewe mwenye hiyo neema waombee watu kama hao ili wawenze kumtegemea Mungu.
 
Futa hio kauli yako ya kujumlisha kila mtu!
Mimi NAAMINI MUNGU MMOJA TU bila Kuamini Chachandu zingine zozote.

Nyie Mtaibiwa mpk dunia imalizike.

Hizo Tasbii na Rozari Ni Nini
 
Mungu peke yake ndio anamjua vizuri kuwa anafaa...mi ni nani?!...ninachosema ni kwamba anatakiwa kusali na kuamini kwamba sala zake zimepokelewa na kusubiria jibu..sasa maji asipokuwa nayo ni kama amefanya kazi bure katika kuomba kwake cause unaona anavyosumbuka kuyatafuta asipokuwa nayo ili tu kuweka jambo sawa, kwa sababu imani yake iko kwenye maji, imani ya mtu inatakiwa kuwa kwa Mungu, hivi vitu ni extra tu..extra is not worth it

Unafikiri Kwanini Mungu Alimuamrisha Musa Kujmtengeneza Sanamu ya Nyoka.. kwani Hakuweza Kuwatibu Watu Direct...

Acheni Kubeza Vitu vitakatifu
 
kwenye hili uko peke yako mkuu. Mimi ninamuamini mungu tu..pekee..peke yake...bila nyongeza ingine..na mpaka sasa sijapungukiwa na lolote!

Na Hivyo Vitambaa.. sabuni... mnavyogawiwa na Wachungaji...?

Na Kwanini Nyoka Wa Shaba Alitengenezwa Wakati Mungu alikuwa Anaweza Kuwaponya Watu...? Muwe mnatumia Critical thinking kwanza
 
Unafikiri Kwanini Mungu Alimuamrisha Musa Kujmtengeneza Sanamu ya Nyoka.. kwani Hakuweza Kuwatibu Watu Direct...

Acheni Kubeza Vitu vitakatifu

elewa kwanza,.. ukibase hope kwenye maji lazima utaabike, base hope na faith kwa Mungu kwanza..sasa kama hayo maji hayapatikani, au yasifike mpaka wiki ijayo mtu utafanyeje?utaweka faith yako on hold mpaka upate maji?! hapa mtu kafanya maombi ila anategemea yale maji ili mambo yakae sawa zaidi, sasa maombi aliyofanya ya nini?!hayana nguvu au?!...imani itakuponya kweli ila mtu unatakiwa uzingatie imani yako iko wapi na kumbuka baada ya Yesu kufa msalabani yote yalikwisha, ile damu iliyomwagika ndio silaha yetu kwa sababu ilikuwa kwa ajili yetu, hivi vingine extra tu, ile pia ni protection tosha
 
Majaribu2013

Wewe badala ya kumwangalia Mungu unatia imani kwenye maji? Pole. Njoo kesho Full Gospel Bible Fellowship Mwenge Dar es Salaam kuna maombi kwa wenye shida mbalimbali kuanzia saa nane mchana.
 
Last edited by a moderator:
T.B. Joshua ni mhubiri na muombaji pekee mwenye nguvu za Mungu kweli ktk Afrika na hapa Tanzania yuko mmoja tu wengine wote ni bla bla nyingi na upigaji wa pesa tu. Huo ndiyo ukweli!!

Ha ha haaaaa! Wajinga ndiyo waliwao. Umedanganywa na kudanganyika.
 
Unafikiri Kwanini Mungu Alimuamrisha Musa Kujmtengeneza Sanamu ya Nyoka.. kwani Hakuweza Kuwatibu Watu Direct...

Acheni Kubeza Vitu vitakatifu

Nyoka wa shaba alikuwa ni mfano wa Yesu Kristo. Waliomtazama nyoka hata walipoumwa hawakufa. Wanaomwamini Yesu hata kama wanaumwa wanapona.
 
Maji,Mafuta,Vitambaa vya kujifunga,Stickers vyote haviwezi kufanya kazi iwapo huna imani,hizo zote ni media zinazokufanya wewe uweze kufikia au kupokea nguvu za kiroho.
 
Maji,Mafuta,Vitambaa vya kujifunga,Stickers vyote haviwezi kufanya kazi iwapo huna imani,hizo zote ni media zinazokufanya wewe uweze kufikia au kupokea nguvu za kiroho.

kama hijitambui nyamaza tu. mnawaonaga wenzenu wajinga tu. ovyo sana kama kondom ilotumika
 
Back
Top Bottom