Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,675
- 37,857
Wapo.mnaoshangaa lakini.kwakuwa.nawapenda sitoacha kuwaonya.
Naona watu kadhaa wakiandika vibaya ujio wa TB Joshua. Kama mtumishi wa Mungu aijalishi wewe CCM ama UKAWA nawasa Mungu ndie anamwongoza..anajua amesema.nao nn sisi kama binadamu tumwombe mungu awaongoze waliosema yakaenende sawa na mapenzi ya mungu
Nasema kwa huzuni nimewahi kumwona kijana aliekuwa akimsema sana mtumishi mmoja alisagika tankibovu.kama unga sitaki kuamini yapo.maisha baada ya kumsema.mtu wa Mungu....