Mawazo ya kimaskini haya,tumia benki wewe that's worldwide means ya kusecure pesa yako
Wewe ndo tajiri ama??? Sasa ka wana upuuzi kwa nini tusifanye ka mdau alivyonena
unaweza kweli ukawa 'serious',ila tangu ulipomtetea yule 'naniliu' nimekuona na wewe "walewale!"
samahani lakini,ila na mimi nipo serious!
Mimi mastercard Yao nisha ivunja we toka mwez wa pili mpaka Leo nafatilia card ifanye manunuzi online kila siku wananiambia utatumiwa meseji mpaka Leo kwel..yaan pesa yangu initese kutafuta na wenyewe wanitese for no reason Sipo tayari.
Ninadhani mastercard ya CRDB ina matatizo, omba kadi ya VISA tatizo lako litasolvika fastwanakera Sana,si wenyewe Arusha nyimbo ni hizohizo na ukitolea pesa ndani wanakata hela nyingi.ss cjui hiyo system ya kutengeneza ATM kadi imekufa
Jiunge na benki tu kama unafanya bishara inayohitaji kupitishia pesa benk au kama unafanya kazi na wanapitishia mshahara benki azawais godoro lako ukiongeza na M PESA Ni mahala pa usalama zaidi. Godoro halina benki charges, halina foleni, halina system down, huwezi kuibiwa kimtandao n.k
Kama humwamini wife hela zako weka mpesa. kama mnaaminiana weka kwa godoro. hakuna atakae kukuvamia nyumbani kama hutatangaza kwamba unahifazi pesa kwenye godoro
Ongeza hili, bank statement ya page moja ni shilingi elfu kumi na moja. Wizi kabisa. Hivi mimi kutaka kujua ela zangu kama benki wameiba au la mnanikata hizo hela. Ndio maana nilitoa hela zangu zote
siku nakumatt wakiondoka nitachinja jogoo nifurahi na wajukuu zangu...subutu ..... Benki ya manyang'au. Kesho usikie wamerudi kwao kenya kama uchumi wanavyojiandaa kurudi.