Kwa hili ITV chukueni hatua

Kwa hili ITV chukueni hatua

ITV yamebakia manyumbu, yanayopenda kujitekenya na kucheka yenyewe
 
Itv ilijitoa kutangaza kuanzia maandalizi mpk uchaguzi wenyewe walitoa maisha ya mgombea mmojammoja tuliona mpk siku yenyewe ya uchaguzi iliiacha vipindi vyote na ikawa inaripoti kila tukio lililokuwa linatokea huku tukishuhudia televisheni ya taifa ikiweka vikatuni. Kosa hapo ni nini? kuonyesha kasoro zilizojitokeza vituoni na watu walipokuwa.wakilalamika pale taratibu ziliposhindwa kufuatwa? tusiwe wepesi wa kulaumu badala ya kusifia pale chombo chochote kinapofanya vizuri. Hongera ITV televisheni ninayoipenda!!
 
Tulia dozi iwaingie, Lowasa wenu anaenda kuchunga ng'ombe vipi mtamsindikiza?

Tatizo nasikia hata zizi lake la ng'ombe liko ndani ya hifadhi ya barabara!
Tingatinga bado atalifuatilia!!
 
Wakati anazomea Mh.Rais kwenye kampeini mlikuwa mnashangali kuwa amekutana na nguvu ya umma,huku hao vijana mkiwaandaa wenyewe,kuzomewa Mengi na waandishi wake ndo mnatoa mapovu,
 
Anajipendekeza kwenye serikali mpya hatari. Maana mpaka sasa yuko live tu.
 
Wapuuzi wachache hawawezi kuiondolea heshima ITV na Mengi.
Waungwana tutaendelea kuiangalia na kumheshimu Mengi.

for the first time nifah umeongea point ya maana sana uliyoshindwa kuiongea hivohivo wakati wana ukawa wenzako wakimzomea magufuli....atleast now uchaguzi umeisha i hope wote tutakuwa kitu kimoja kwa point yako naungana na wewe........
 
Tutakuwa pamoja endapo utaacha ule ujinga wako......
 
Wapuuzi wachache hawawezi kuiondolea heshima ITV na Mengi.
Waungwana tutaendelea kuiangalia na kumheshimu Mengi.

Yule mzee utamuheshimu wewe tu..mzee wa ndogondogo
 
We inaelekea unafata mkumbo kunanga usichokijua katika hicho kingamuzi cha AZAM, ITV inaonekana vizuri zaidi

Wala hanacho hicho kingamuzi ni majigambo ya Lumumba tu. Yawezekana baada ya tcra kuwafanya mbaya kwa kuingiza vingamuzi hata ule mtumba wako wa kariakoo ulishausahau.Umebaki kujaza tu viti kwenye mabaa kusikiliza habari na mipira. Majigambo ya watu wa Lumumba yanafahamika tu haswa wakishalipwa posho zao za elfu tano.
 
Yule ni MTU na biashara zake zinazomwingizia mabilioni ya hela mnafiki ni wewe unaepiga kelele huku kujitaftia umaarufu kupitia MTU honest kama Muheshimiwa Mengi .tuachieni bilionia wetu Mengi
 
Lowasa ashasema aenda kuendeleza ufugaji .hivi mnafahamu ndio sekta ilompatia utajiri Mkubwa alionao mh lowasa? Haya bakini mkimkashifu huku wakati mwezenu anaendelea kukinga mahela .Tafta pesa wewe acha ulofa na umbea Wa kusemasema watu
 
Wala hanacho hicho kingamuzi ni majigambo ya Lumumba tu. Yawezekana baada ya tcra kuwafanya mbaya kwa kuingiza vingamuzi hata ule mtumba wako wa kariakoo ulishausahau.Umebaki kujaza tu viti kwenye mabaa kusikiliza habari na mipira. Majigambo ya watu wa Lumumba yanafahamika tu haswa wakishalipwa posho zao za elfu tano.

Umenifurahisha sana mkuu,na zaidi nimekufananisha na mtu fulani.
 
Back
Top Bottom