Recent content by bhahurugo

  1. bhahurugo

    Jifunze kuzijua samsung zilizo karabatiwa(refurbished)

    Tafadhari msaada simu yangu ni samsung A8 inatumia lini 2 nina kama miezi 3 hivi nikiwasha data mfano kwa kutumia lini ya tigo mda huo huo lini ya tigo inakuwa haipatikani nikibadili na kutumia voda tigo inapatikana ila voda inakuwa haipatikani. Tafadhani naomba msaada wakujua tatizo ni nini.
  2. bhahurugo

    Kwanini wanaume wengi wana sura mbaya?

    Hahahaha hii imekaa vizuri sana na atakuwa kapata majibu.
  3. bhahurugo

    Serikali yabadilisha kampuni ya TTCL kuwa Shirika la Umma

    Kirefu cha TCC. Na vipi hatima ya airtel?
  4. bhahurugo

    Wale ambao mlishawahi kutuma nauli kwa demu akala na hakuja tukutane hapa.

    Me ukishazungumzia hela tu basi Nanyosha mikono.
  5. bhahurugo

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Huyu jamaa me alinifanya niwe mpenzi wa jf but toka apotee hata kuingia jf ni mara chache.
  6. bhahurugo

    Car4Sale Altezza CFH 541 cc1990 bei M6

    Tuma picha za ndani mkuu.
  7. bhahurugo

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Unajua kutengeneza sentensi huenda hukuruka darasa la pili, Nadhani wewe umevurugwa
  8. bhahurugo

    Mwanamke kumkubali mwanaume haraka ni dalili ya umalaya..?!

    Hapo nani malaya kati yako na yeye. Aliyetoa namba au aliyeomba namba?
  9. bhahurugo

    Nauza smart TV TCL inch 55..

    Sawa ila ungeitoa kwenye box lake ili tuione Na uweke na bei ya kuuzia
  10. bhahurugo

    Kwa hali hii, Je mimi ni Genius??

    Maelezo yake yanautata ndani yake mengine yanaeleweka ingawa anajichanganya pale anaposema hapendi mshahara wala kuajiriwa but anamaliza kazi yake ndani ya dk3 na anawasaidia wafanyakazi wenzake kama una akiri nyingi kiasi hicho ungekuwa tayari unafanya mambo...
Back
Top Bottom