Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Bonge la story na linafikirisha kinoma! Ombi kwa The bold ; kwa sababu bado nipo mwanzo mwanzo mwa series cjui huko mbele imeshaisha AMA lah! Mwanangu! Hiki nipande cha itro Na episode ya kwanza Ni kirefu mno! Ningeomba ibaki intro tu halafu story iendelee Na mtiririko wake kama ilivyo kikosi cha kisasi Na zingine nlizopitia humu! Ni maombi tu Na mtizamo wangu! Ahsante
 
IMG_3684.jpg

Kitabu changu cha kwanza NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI & UJASUSI kiko tayari na kitakuwa mkononi mwako mwezi huu september... kaa tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom