Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Yap kazi nzuri sana hongera kwa kipaji chako hope mungu atakuzidishia uwezo wa kutengeneza zingine.
But naomba kama kuna mtu anajua kufungua ya E09...... maana zinagoma kufunguka zionekana kama vile hazijawa tyr.
 
Jamaa wamsamehe make wengine simulizi/hadithi ndo ulevi wetu.
 
Bold wamemrudisha ama mods na uongozi wameamua kufanya yao? Poor jf
 
Ooops bonge la story, hivi kuna season 2 episode 17 Maana nimeishia 16 inayofuatia naitafuta bila mafanikio
 
Huyu jamaa me alinifanya niwe mpenzi wa jf but toka apotee hata kuingia jf ni mara chache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom