Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Eti heshima na taadhima we kwann usipande public transport
Kwani lazma lift.
 
Eti akusamehe kodi..yeye kama nani na hyi nuumba ni yao wote
Unapenda vya bure kama nini
 
Unatupima uwezo wa ku fikiri ila kwa malumbano hayo mke wa mwenye nyumba wala hana imani na wewe tena ndo maan aliamua kukutenga longtime, kampe ila muda wowote waweza fanywa chizi hapo usitambe ati unamkomoa!

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
Mpe tu na hata uhai wako akiuhitaji pia mpe, mwanamke asiye na akili kama wewe sikuzote huumiza nyeti zake,
Nonsense!!
 
Wewe ni kahaba profeshno.. Umeua ndoa yako sasa unataka kuua ya mwenzako.. Huenda na ya boss wako nayo inapumulia mashine kwa ajili yako.

Ndoa ya mtu inavunjwa na mtu mwenyewe haivunjwi na mtu toka nje. Kumshutumu huyu mwanamke kuwa anavunja ndoa za wenzake sio sahihi kwani hao wanaume anaaotembea nao hawana akili?

Pili mmnavyomshambulia kama vile wote hamzini wakati ni mabingwa wa kuzini kuliko huyo mnayemkemea. KImsingi mtu yeyote yule anatakiwa asizini hadi wakati wa ndoa halali hivyo kabla ya kumnyooshea kidole jiulize kama unazini au hauzini.
 
mimi kwangu nina chumba self kikubwa sana na hakina mtu. karibu dada yangu mwenye kulemewa na mauzito ya maisha uje ukae kwangu nami nitakupumzisha.
nakuona jinsi ulivyokaa wakati unaandika hii thread. umejifunga khanga tu..umejibinua makalio yako na miguu umechanua... tayari upo wet kwa hasira na mawazo ya kumkomoa huyo dada kwa kumpatia mumewe chapati yako.sijui kama utakuwa na kitumbua..unaweza kuta tayari ishakuwa chapati.mumeo mliachana kwa sababu alikuwa anahisi unamcheat na sasa unatembea na boss wako.unataka na baba mwenyewe nyumba ili upange bure na nauli usilipe.
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Mm nataka uumpe alafu mjipige picha umtumie mama Mwenye Nyumba maana usipofanya hivyo haisadii chochote maana mama anjua wewe ndiyo mwizi wake kitambo
 
Hakuna chozi la haki litakalopotea bure! Afanye kwa mda wake anaojiona yeye ni mzuri sana na ana akili nyingi sana! Ila akumbuke kuwa "muosha huoshwa"

Kumbe watu wanashauri shetani awe malaika! Loo! watasubiri sana.

Malipo ni hapa hapa duniani either kwake mwenyewe au kwa kizazi chake! Au pengine huenda kuna laana anayotembea nayo kutoka kwa uzao wake maana anaonekana ni Malaya by nature!

Angoje tu mda wake ukifika atavuna anachokipalilia!
 
Kavuruga ya kwake, ameenda kuvuruga na ya mwenzio, namhurumia huyo mama.
Si ungemwambia mumeo akunulie gari mpmbv wew
 
Kumbe wewe ni amsha amsha chama la masela Lol...! Godoro la masela jamvi la wageni njoo kwangu kuna room ya bure na usafiri wa bure nitakumpuzisha tu
 
Back
Top Bottom