Recent content by bhachu

  1. bhachu

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    Duuuuh, hivi kabila aliongoza Congo kwa miaka na mihula mingapi?
  2. bhachu

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    Ila mkoa wa morogoro kwa ajali asee umetia fora, kuna watu wengi sana wame logout hapo.....kuanzia lile lori la mafuta
  3. bhachu

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Video ya Historiaya Mzozo wa Israel vs Palestine, Kwa hili Uingereza Ndio Iwajibishwe Kwa Kusababisha Maafa Kwa Wapalestina.

    Hii inaitwa SELECTIVE MORALITY Bila mleta uzi alipouliwa yule kijana wa kitanzania aitwaye Mollel na Hamas ulishangilia saaana Mwaka 1948 UN ilipiga kura kutenganisha hiyo ardhi na kuwapa waarabu ardhi na wayahudi ardhi, wayahudi walipopewa hiyo ardhi wakajitangazia uhuru maramoja, waarabu...
  4. bhachu

    JamiiForums Tanzania Aliyeandika hivi amechukuliwa hatua gani?

    Kuna yule alisema atampoteza padri kitima, sijui sakata lake liliishia wapi
  5. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Duuu.....adi choking, ntumie kwa DM tajiri
  6. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    CONNECTION
  7. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Hakuna faida zaidi ya majuto, ila ameua sababu hakuwa tayari kumona Ex wake ana nawili na kumove on
  8. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Mzee baba unamuacha aende kama humpendi, lakini kama unampenda ni ngumu sana kumuacha, mawazo yanakuja mengi na options kibao, moja wapo ndo hiyo ni heri Ufe wewe au Afe yeye
  9. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Mapenzi yana run dunia
  10. bhachu

    JamiiForums Tanzania Kwa maendeleo ya teknolojia na sayansi bado tunahitaji vipaza sauti misikitini na makanisani kweli?

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
  11. bhachu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyewahi kuishi naye zamani kama MKE, amefariki dunia. Sina raha siku ya 7 leo

    Sote twatakiwa tujiulize? Tumetokea wapi? Tokea wapi? Ukipata jibu sawazisha kwa polepole oooh Dunia ya Mola sio kwenda nayo kwa mapepe oooh Mwisho wake sote tunarudi kwa udongooo....
  12. bhachu

    JamiiForums Tanzania HECHE anangojea hukumu kwa kukosea, anaingilia hukumu.

  13. bhachu

    JamiiForums Tanzania Tunatimiza mwezi sasa hakuna kisa cha kutekwa mtu...

    😃😃😃😃😃 CHADEMA na watanganyika kamatieni hapo hapo, mkoloni mweusi wa kijani anakaribia kukata rohooo
  14. bhachu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaiteketeza CCM Nyamongo, Mbunge wa ccm akimbia bila kukimbizwa, wananchi wamshangaa

    😃😃😃😃😃😃😃 ila we jamaa
  15. bhachu

    JamiiForums Tanzania HOJA Askari Polisi Wastaafu tulipwe stahiki zinazoendana na uhalisia, kiasi tunachopewa ni kidogo sana

    Umekosea sehemu ya kuleta malamiko yako huku, haya malalamiko ilibidi uyspeleke makao makuu ya CCM pale dodoma
Back
Top Bottom