Ama kweli haya ni maajabu, na hili mpaka uuambie ulimwengu ukusaidie, kazi ipo. inaonekana houseboy alikuona uko fragile ndio akaona ana nafasi ya kukutongoza, unatakiwa uonyeshe msimamo wako mapema kwa hawa watu, ukiwachekea ndo inakuwa hayo. mwambie ashike adabu yake, kama anakutaka amwandikie...