Uaminifu katika ndoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uaminifu katika ndoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Beyond Thinking, Jan 11, 2011.

 1. B

  Beyond Thinking Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na tatizo la wanando kutokuwa waaminifu katika ndoa zao, kimsingi jambo hili sijalifanyia utafiti ila naamini huju JF wapo wengi ambao watakuwa wanamaelezo ya kutosha kueleza sababu ya kadhia hii, naomba tusaidiane, kwa nini uaminifu katika mahusiano ya mke na mume ni issue?, utakuwa ktu ana mke/mume wake lakini anakosa uaminifu na hatimae anatafuta mwanamke/mme nje ya ndoa!, tatizo ni nini hasa?
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  umalaya
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa Dunia upo mlangoni. Unabisha hodi.
   
 4. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  upendo wa wengi umepoa
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  wanasumbuliwa na tamaa. Km mm nlwah kumfmania wng et akadai hta yeye hajui kw nn katoka. Et ooh sor cz nlptiwa na shetan! Wanapnda kwl kmsingizia 7hetan
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mume/mke kushindwa kutimiza wajibu wake kwa mwenzie
  Kunyimana unyumba
  Kukosekana kwa heshima
  Kukosekana kwa uvumilivu
  Kutokuwa na misingi sahihi inayowaweka pamoja,kama zile za mtu anajitegesha apate mimba kulazimisha ndoa
  Kupungua kwa hofu ya Mungu
  Kukata tamaa pia kuna fanya watu wafanye mambo ya ajabu ajabu
  Kushuka kwa maadili
  Globalization(Westernization),watu wanaiga tu maisha ya kutokuheshimu commitments au kutokuwa na commitments za kudumu
  Elimu pia kwa wasio na busara wanaitumia kushindana na wenzi wao kama wanatoka nje..................................
  .......................................................................................................
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  good wifey material!
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa!Thank you Hashy!
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280

  Tatizo wanaume ni kama wanyama. Wanapata tabu sana ku-stick na mwanamke mmoja. Nilisoma mahali wanasema ndivyo walivyoumbwa. Tuwasamehe kwa hilo. Kwa wanawake tatizo letu ambao tuko kwenye ndoa sometime if not most of the times ni kulipiza kisasi. Kama umeshagundua husband ni bonge la cheater, majamaa wakikutokea na wewe unakuwa huoni sababu ya kukataa. What for? Kama mumeo anagawa kama hana akili nzuri na wewe unaweza kujenga roho ya tit for tat. Na hii mara nyingi wamama huchukulia kama njia ya kuepuka kuwa na wivu sana na wame zao.

  Tahadhari, ukiona mkeo anahacha kukufuatilia kuna uwezekano nae katafuta wa pembeni. Ukitaka mke/mume mtulivu anza wewe kuwa mfano. Dont expect to receive what you dont give.
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Not at all

  Mwanaume in nature ni explorer and in nature ni hunter, satisfaction yake iko katika kutoa pleasure kwa wanawake.............. marrying one wife is trying to control that nature .........which is not easy if not possible.......so kutegemea mwanaume awe faithfull per se kwa miaka yake yote ya maisha ya ndoa ni ndoto (lazima kuna wakati atachepuka tu...including one night stands awapo safarini na kina Eliza pale mtaa wa viti virefu)

  Mwanamke naye kwa kutaka kumkomoa mumewe ambaye anajua fika anatoka atatafuta yule wa kufulfill what she is missing toka kwa mumewe (whether mumewe anatoka au la.........kama kuna kitu anamiss wengi wanaopt kutafuta nje)
   
 11. GodfreyTajiri

  GodfreyTajiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 846
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 60
  naona nyumba kubwa lawama zote umewabebesha wanaume!
  mbona wapo wanawake wanaotoka nje ya ndoa wakati husband wao wapo
  poa tu?

   
 12. M

  Mkare JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na Michele 99.356%
   
 13. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mh wanawake mmesahau nn? Kwetu kuna mafiga ma3..
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wewe umekuwaje lakini???
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280
  MJ1 hapo kwenye nyekundu ndiyo kwenye neno nadhani na kwa wanawake ni hivyo hivyo.

   
 16. Averos

  Averos JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 648
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Good arqument!
   
 17. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chakula hakinogi na mboga moja. Huwa tunajaribu kuonja radha tofauti zikoje, ya mnene, mwembamba, mfupi , mrefu, mweusi, mweupe na wakati mwingine tunasikiaga sifa za makabila mara utasikia wa Tanga ni kiboko oh mara wa machinga n.k sasa pia unajaribu kutafuta ili uonje hizo zinasifiwa zikoje? Basi hiyo ndio siri yetu jamani.
   
 18. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  sikupata jina zuri la kumpamba huyu mtu
   
 19. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ha ni kweli bwana
  moja inachosha ni bora mtu ukawa na 7 monday yake mpk jumapil yake.
   
 20. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  vingekuwa vifutio vingesha isha......na vingekuwa vichongeo vingesha kuwa butu
   
Loading...