HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al?

HII NDIO JANJA YA MALARIA SUGU et al?

Hapana anuhuru wakuzungumzachochcote mradi havunji sheraya nchi. Kumzuia ni kumkosea kikatiba mwacheni abwabwaje akikuwa ataacha.
 
when you go beyond normal thinking it Seems that there is a democratic-dictatorship tendencies, A free man is free to think on his/her own ways, making a free man thinks on the way you need is KILLING thinking on the free man. Let one give out what he thinks so that the rational analysis can judge what is right or what is wrong. Fearing the thinking of someone paralyzes our thinking capacity or shows that our thinking capacity is below the quality to judge someone's poor thinking.
 
Ni habari nzuri sana kama MS wamem ban! Nimepost thread moja ya kuomba watu kama hawa wafungiwe kabisa wasitake kutuchanganya!

Mwanangu hekima inasema umjibu MPUMBAVU KULINGANA UPUMBAVU WAKE ILI ASIJE AKAONEKANA ANA HEKIMA HEKIMA
 
Rev, kuanzia leo ni swahiba yangu, hiyo misifa ulionipa yaani nakuwa Mister Misifa kuliko ZK.

Lakini kwa nini hamkubali kuwa mnam-miss Malaria Sugu?

Na ingekuwa hanum miss msingemuongelea sana kiasi hiki, yaani humu JF wanaoongelewa sana ni Zitto wa kwanza wa pili Malaria Sugu.

MS ni kiboko yenu.
Kwa hiyo, kuongelea watu ndo ujanja au?
 
Malaria sugu mara chache sana huchangia threads zilizoanzishwa na wengine rather yeye hupenda kuanzisha threads zake ambazo huwa zinaamsha hisia za wengi hivyo kujibiwa sana. probably wanaomjibu majority watakuwa ni wakristo. huwa standby ku-respond propmtly maana anajua fika amepiga mzinga wa nyuki. Threads zake nyingi huwa za kidini zenye mwelekeo wa kuonyesha kukandamizwa kwa waislam na/au kupendelewa kwa wakristo. Nimefikiri sana juu ya hili yaani what could be his motives behind posting his threads here in JF na kupata idea ifuatayo. Kwamba atakuwa anawa-provoke wakristo ili kukusanya views zao kwa matumizi anayoyajua yeye au kwa maslahi ya kikundi fulani kinachomtuma kwa maslahi yao. so nashauri, wanaokuwa provoked na threads wampuuzie. nahisi anapata faida sana kwa reply zenu....apuuuzwe au apewe majibu ya kipuuzi.

nawasilisha!!!
Mkuu nasikia alikuwa kifungoni kurejea mwezi ujao

Similar Discussions

Back
Top Bottom